Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Mkuu mimi huu ndio uzi wangu wa Mwisho wa Crypto kuchangia, nitabaki kimyaa sanasana likes tu. Wacha nipige pesa kimyakimya maana wajuaji wamekuwa wengi mnoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni bora tukae kimya.. Unawapa watu michongo + info zote, huwaombi ela ila wanakuita tapeli, hii kitu inanishangaza sana.
Siku wakiamka naamini wajanja tutakuwa mbali sana.
 
Kuna hii ALU-pankaswap hii coin ni nzuri ndo najifunza kiundani zaidi ni complicated lazima sijui uwe na wallet. Yani naitafuta hela ninune coins. Pia kwenye crypto bahati inahusika unaweza kuangukua coin moja ikashoot up vibaya. Kama Shiba uni coin rafiki yangu aliniambia miezi michache iliyopita ilikuwa under one dollar lakini sasa hivi imefika 4000. Kuna mwanamama aliinvest 30000 sasa hivi ana 6m USD. Sasa imagine hii nilivyo invest sasa hivi cardono ipande tu hata 50 usd
Shiba Inu? Au umechanganya??
 
Ni bora tukae kimya.. Unawapa watu michongo + info zote, huwaombi ela ila wanakuita tapeli, hii kitu inanishangaza sana.
Siku wakiamka naamini wajanja tutakuwa mbali sana.
Kabisa Mkuu. Wacha kila mtu apambane kivyake.
 
Quantitative Finance / Finance/Fintech na computer skills zinaenda sambambaa acha kutisha watu
 
Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo.
Mtu ndiye mpigaji Ila trading Kama trading sio upigaji ni real business like any other business inazo ups and downs.
Halafu hii biashara kujifunza Ila ukishaijua
 
Babu..
Hiki kiinchi ni bado kiko kwenye zama za giza , mijitu mizwazwa na elimu yao ni bado wanajua maisha kukimbiza ajira, zaidi ya hayo maisha ni utapeli na wengi ni miporipori ya vijiji pamoja na elimu yaani "you can get the idiots out of village life, but you cant get the village life out of the idiots.
Nigeria na jirani zetu Kenya wako mbali sana kwenye mabadiliko chanya kama haya....
Acha kutukana ndugu na marafiki zako..kisa umezaliwa na kukulia mjini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Napenda sana nijifunze how to trade. Ukiwin hii kitu unaweza ishi kama freemason.
Kuna shabiki mmoja maarufu wa mpira wa miguu wa timu ya taifa alihojiwa anawezaje kusafiri kila nchi kushabikia timu akajibu kwa ufupi anatrade.
Yaani ukiwa smart hii kitu inaweza kukufanya uishi kifalme.
Ni kweli
 
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.

Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account ya moja za crypto currency kumbuka mimi bado mgeni kwenye mambo haya.

Leo nimeangalia nimepata faida ya 900 dollars kwa 500 dollars niliyoinvest na inapanda.

Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo. Ukiinvest tu kwenye coin nzuri unaweza kutoka sana na faida nyingi na kubwa.

Ni vizuri pia kujifunza kabla ya ku invest mtandaoni ama unamjua rafiki ambaye yumo kwenye gemu kwa muda. Kuna coins nyingi sana kwenye crypto nimeuja kujua.

Coin yenye thamani sasa hivi ni Bitcoin na Bitcoin moja ni 61,000 USD. Na miaka 10 iliyopita ilikuwa 50 cents.

Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa.

Crypto si upigaji

Karibuni kwenye mjadala
mhh!!! ONTARIO umerudi kivingine?
 
Acheni porojo nyie. Hapa kuna kaharufu ka upigaji hakuna hela za bure ni kufanya kazi tu na uzalishaji mali baas. Kuna mapori mapana lukuki nchini, vyanzo vya maji, ardhi yenye rotuba. Tufanyeni kazi jamani.
Wanajiandaa kuwapiga wenye tamaa
 
Na Ki
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.

Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account ya moja za crypto currency kumbuka mimi bado mgeni kwenye mambo haya.

Leo nimeangalia nimepata faida ya 900 dollars kwa 500 dollars niliyoinvest na inapanda.

Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo. Ukiinvest tu kwenye coin nzuri unaweza kutoka sana na faida nyingi na kubwa.

Ni vizuri pia kujifunza kabla ya ku invest mtandaoni ama unamjua rafiki ambaye yumo kwenye gemu kwa muda. Kuna coins nyingi sana kwenye crypto nimeuja kujua.

Coin yenye thamani sasa hivi ni Bitcoin na Bitcoin moja ni 61,000 USD. Na miaka 10 iliyopita ilikuwa 50 cents.

Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa.

Crypto si upigaji

Karibuni kwenye mjadala
kaa kitaalam mkuu
Doge ilifika mpaka 0.74 usd na ikafall mpaka 0.17usd
 
Kuna hii ALU-pankaswap hii coin ni nzuri ndo najifunza kiundani zaidi ni complicated lazima sijui uwe na wallet. Yani naitafuta hela ninune coins. Pia kwenye crypto bahati inahusika unaweza kuangukua coin moja ikashoot up vibaya. Kama Shiba uni coin rafiki yangu aliniambia miezi michache iliyopita ilikuwa under one dollar lakini sasa hivi imefika 4000. Kuna mwanamama aliinvest 30000 sasa hivi ana 6m USD. Sasa imagine hii nilivyo invest sasa hivi cardono ipande tu hata 50 usd
Wewe weweeh shiba inu ni 0.00005 haijawahi kufika 1$
 
Watu wa crypto sijui kwanini mnakuwaga na makelele sana..
Ndani ya wiki ushajua kwamba sio upigaji eeh [emoji3][emoji3]
 
Mkuu shida kubwa tuliyonayo Bongo..kwenye Forex na Crypto matapeli wengi mnoo...
Ni matapeli ndo maana hawaishi kupiga kelele mitandaoni..
Hivi issue ambayo unapiga pesa unapata wapi muda wa kuanzishia nyuzi jf? Kwanini usitulie upige hela kimya kimya.
Mbona watu tupo kwenye blogging miaka sasa lakini hutakuta mtu anakuja kuanzisha uzi humu..
 
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.

Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account ya moja za crypto currency kumbuka mimi bado mgeni kwenye mambo haya.

Leo nimeangalia nimepata faida ya 900 dollars kwa 500 dollars niliyoinvest na inapanda.

Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo. Ukiinvest tu kwenye coin nzuri unaweza kutoka sana na faida nyingi na kubwa.

Ni vizuri pia kujifunza kabla ya ku invest mtandaoni ama unamjua rafiki ambaye yumo kwenye gemu kwa muda. Kuna coins nyingi sana kwenye crypto nimeuja kujua.

Coin yenye thamani sasa hivi ni Bitcoin na Bitcoin moja ni 61,000 USD. Na miaka 10 iliyopita ilikuwa 50 cents.

Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa.

Crypto si upigaji

Karibuni kwenye mjadala
Hii thread ni wavu wa kuvua wajinga ambao ndio idadi kubwa ya watu duniani, ni sawa tu uwekezaji wa njombe
 
Ni matapeli ndo maana hawaishi kupiga kelele mitandaoni..
Hivi issue ambayo unapiga pesa unapata wapi muda wa kuanzishia nyuzi jf? Kwanini usitulie upige hela kimya kimya.
Mbona watu tupo kwenye blogging miaka sasa lakini hutakuta mtu anakuja kuanzisha uzi humu..
Kweli kabisa...kuna Jamaa yao mmoja Juzi kafungua kampuni kakusanya hela za vijana weengi kawapiga hela tena Mara ya pili🤣🤣
 
Hiyo faida umetrade au umenunua Coin na kuhold na baadae umeuza? All in All usitegemee mjadala positive humu zaidi ya kukatishwa tamaa. Wabongo wengi bado wana ushamba wa Crypto. Usiwasanue ngoja tupige hela ili baadae watuite Freemasons(Joke).
Mkuu nikinunua shia uni coins kwa dollars 100 napata coins ngapi?

Nijibu haraka mkuu
 
Usiwe na haraka. Jifunze kwanza. Do not rush to imvest in things you dont know. Hii kitu nimekuwa nikiwaeleza sana watu. Sababu nikikwambia ununue alafu baadae ukapata hasara utarudi hapa kuanza kusema crypto ni utapeli!
Nawasihi sana vijana Crypto is not a get rich quick scheme. Take time to learn and tech yourself before jumping into investing or trading.

Asante.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom