Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Huwa inachukiza sana baadhi ya w$3nge kuona kama yule jamaa Ontario ndiye kaitengeneza fx..

Wakati ameikuta na itaendelea kuwepo, kila ukisemea haya masuala watu Wana refer Ontario, who is Ontario? Ontario ni nothing kwenye haya masuala, amejifunza kama wengine, yeye sio master, yeye sio best trader kuliko wote, yeye ni mtafutaji kama mentors wengine, kufeli kwake it's not guarantee wengine watafeli.

Yeye sio institute au bank, so tuacheni ujinga...

Jamiiforums imekuwa na wajuaji wengi, wajuaji njaa.. kuna jamaa alinambia jf wanaojua vitu wapo kimya, cause wakitaka kuchangia kuna wa$3nge wajuaji njaa wanapinga kila kitu...

Inaudhi sana...

Mkuu hongera sana, we komaa na Crypto, usione hata noma kusema una trade fx kisa w@$3nge mbu mbu mbu...
Kaka Sijui sana kuhusu Ontario,lakini anajiita now days sir Jeff Dennis he is one of the good traders in the financial markets category,Jamaa anajua na anaishi vizur
One thing about financial markets inahitaji shule kwel kwel sio mchezo,you need to invest energy and time Ku master...lakini the worst thing watu wanaona n scam ni kwa sababu ya kutamani pesa za haraka haraka na unakuta kuna mentors wanafundisha forex ama crypto for week its a weird...Financial markets is promising take time and learn brothers and sisters..

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Ni shidaa! Kama hawezi Crypto au hataki kunifunza sio lazima sana. Anaweza kwenda kwenye Kilimo cha Mpunga Mbarali au Kilombero🤣
Crypto zipo nyingi na kuna zenye faida ukiwekeza. Hili halina shaka. La muhimu ni upate platform nzuri na uwekeze kiasi unachoweza ku-afford kupoteza kama likitokea la kutokea. Tatizo ni kuwa nyie mashabiki wake mnatumia nguvu mno kuzitangaza na kuzitetea hasa ikitiliwa maanani kwenye game kuna matapeli wengi sana sana. Kwa nini mtu uanzishe thread ya kuelezea jinsi ulivyopiga fedha kwenye crypto na ukae kwenye computer tangu asubuhi mpaka jioni kulumbana, kukebehi na kuandika kila aina ya misamiati ili tu kuaminisha watu? Hili ndilo linafanya watu wahisi uko after something.
 
Kama umenielewa nilichoandika juu ni kwamba Usiingie kichwakichwa na wala usikubali kushikwa maskio na mtu, Fanya utafiti mwenyewe, soma jifunze. Crypto kwa uzoefu wangu sio Get Rich Quick Scheme. Waliofanikiwa kikwelikweli kwenye Crypto hawajaanza juzi wala Jana.
 
Nimekulewa sana na nakubaliana na ushauri wako. ILA: nilihoji tu ni kwa nini zitumike nguvu za ziada kuaminisha watu? Inawezekana usiwe wewe lakini hapa kuna watu wanakomaa sana kuonyesha kuwa wanapiga fedha nyingi kwenye hayo mambo. Na zaidi: Siku hizi matapeli nao wanaanzia mbali sana. Mwanzoni tapeli anaweza kabisa kushauri kama ulivyofanya ili kuji-camouflage asijulikane lengo lake na watu wanapotaka ushauri zaidi anatumia hiyo fursa kuwaliza. NB: sijakuhusisha wewe na utapeli
 
Yes uko sahihi. Jambo la Muhimu watu wanatakiwa kuelewa ni kwamba Currency Trading ni Skills ambazo unatakiwa kujifunza na kuzielewa ipasavyo si jambo la kuvamia Kichwakichwa. Wabongo wengi nimeona wanaingizwa kwenye Crypto Ponzi Schemes ambazo kuna watu wanajifanya eti wanatrade on behalf, hicho kitu hakipo ni Wizi tu.
 
Ieleweke kwamba Crypto alazimishwi mtu kuingia. Kama unaona ni Scam we nenda kalime Matikiti Bagamoyo au kawekeze kwenye Mpunga Mbarali. Kila mtu apambane na hali yake, kivyake tutakutana kwenye Matumizi ya Pesa.
Halafu hao wapuuzi wenyewe njaa kali, yaani choka mbaya kinoma, halafu yanajifanya yanajua kweli na kielimu fulani cha kukariri cha kutupia vijimaneno viwili vitatu vya somo la finance,
yanawaza kuibiwa hata sijui anaibiwa nini choka mbaya na maisha ya mkono kwa mdomo .

Waulize hapahapa na watajibiwa hapahapa, na atakayeombwa kwenda PM, screen shot na muanike hapa hapa
Badala ya hii mizuzu ijifunze na kuelewa na kama inaona kuwa akili zao ni ndogo, basi potea kaendeshe bodaboda au nenda kalime mandolo huko uswekeni kwenu,
 
Acheni porojo nyie. Hapa kuna kaharufu ka upigaji hakuna hela za bure ni kufanya kazi tu na uzalishaji mali baas. Kuna mapori mapana lukuki nchini, vyanzo vya maji, ardhi yenye rotuba. Tufanyeni kazi jamani.
Mtanzania anaamini kazi ni ile itayomtoa jasho, kazi inayohusisha matumizi ya akili haamini kama ni kazi.
 
Mimi ni expert wa crypto, nimekuwa nikiandika threads nyingi kuhusu crypto lakini zinafutwa or walio wengi wananishambulia kuwa me tapeli. Threads kama hizi nazipa tu likes kwa utulivu but huwa sichangii chochote.

Najua waTanzania wengi bado ni washamba wa crypto including Melo maana amekuwa akibariki kufutwa kwa threads za aina hii.

Wazee hamjui tu ni kiasi gani cha BTC nimehold kwenye cold storage (Electrum wallet)

Wale wajanja pigeni pesa achaneni na hawa mafala wasiojua chochote. Pigeni pesa wala msitoe info kwa yeyote. Piga pesa.. nasema pigeni pesa kimya kimya wala msije huku kutangaza mtaitwa matapeli.
 
Kuna hii ALU-pankaswap hii coin ni nzuri ndo najifunza kiundani zaidi ni complicated lazima sijui uwe na wallet. Yani naitafuta hela ninune coins. Pia kwenye crypto bahati inahusika unaweza kuangukua coin moja ikashoot up vibaya. Kama Shiba uni coin rafiki yangu aliniambia miezi michache iliyopita ilikuwa under one dollar lakini sasa hivi imefika 4000. Kuna mwanamama aliinvest 30000 sasa hivi ana 6m USD. Sasa imagine hii nilivyo invest sasa hivi cardono ipande tu hata 50 usd
Mkuu shiba uni ipi hiyo unayozungumzia kutoka under 1 dollar mpaka 4000 dollar …..Jitahidi Ufahamu technical and fundamental analysis mkuu itakusaidia sana kuliko kumpa mtu akunnulie halafu tabia za coin zinapanda sana mwishoni mwa mwaka kama zikipanda sana uza usihold mwaka ukianza zinashuka kwelikweli hasa hizi coin zisizo maarufu

BAFD3B64-E21E-4733-A3E4-C62D84A4D385.png
 
Jukwaa la MMU kulana kimasihara wakitmbn lazima waje waseme hapa?

Acha ujinga wako...

Usimpangie mtu vya kuandika... We vipi bwana... Au we jf founder...

Media huru hii...
Kauli ya tapeli anaeshawishi kutapeli kifupi kufeni na crypto currency yenu matapeli nyie.
 
Hiyo faida umetrade au umenunua Coin na kuhold na baadae umeuza? All in All usitegemee mjadala positive humu zaidi ya kukatishwa tamaa. Wabongo wengi bado wana ushamba wa Crypto. Usiwasanue ngoja tupige hela ili baadae watuite Freemasons(Joke).
Mfyuuuuuu,kwa hiyo mtu akiwa na wasiwasi asiionyeshe, muhimu watu tueleweshwe ili tukiingia tuwe na uhakika.
 
Jukwaa la MMU kulana kimasihara wakitmbn lazima waje waseme hapa?

Acha ujinga wako...

Usimpangie mtu vya kuandika... We vipi bwana... Au we jf founder...

Media huru hii...
ulishawahi kuona mtu kaona chimbo la dhahabu akakimbia kuwaita wenzie?
 
Mimi ni expert wa crypto, nimekuwa nikiandika threads nyingi kuhusu crypto lakini zinafutwa or walio wengi wananishambulia kuwa me tapeli. Threads kama hizi nazipa tu likes kwa utulivu but huwa sichangii chochote.

Najua waTanzania wengi bado ni washamba wa crypto including Melo maana amekuwa akibariki kufutwa kwa threads za aina hii.

Wazee hamjui tu ni kiasi gani cha BTC nimehold kwenye cold storage (Electrum wallet)

Wale wajanja pigeni pesa achaneni na hawa mafala wasiojua chochote. Pigeni pesa wala msitoe info kwa yeyote. Piga pesa.. nasema pigeni pesa kimya kimya wala msije huku kutangaza mtaitwa matapeli.
Mkuu mimi huu ndio uzi wangu wa Mwisho wa Crypto kuchangia, nitabaki kimyaa sanasana likes tu. Wacha nipige pesa kimyakimya maana wajuaji wamekuwa wengi mnoo😂😂😂
 
Kila kitu umeficha ( Uchoyo may be) wewe mwenye ushahidi, hafu ndo unataka wajuvi waje watufunulie.....!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom