Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Kuna hii ALU-pankaswap hii coin ni nzuri ndo najifunza kiundani zaidi ni complicated lazima sijui uwe na wallet. Yani naitafuta hela ninune coins. Pia kwenye crypto bahati inahusika unaweza kuangukua coin moja ikashoot up vibaya. Kama Shiba uni coin rafiki yangu aliniambia miezi michache iliyopita ilikuwa under one dollar lakini sasa hivi imefika 4000. Kuna mwanamama aliinvest 30000 sasa hivi ana 6m USD. Sasa imagine hii nilivyo invest sasa hivi cardono ipande tu hata 50 usd
Duh shiba inu mbona ndo kwanza ipo $0.00007 mkuu, $4000 imefika lini
 
Huwa inachukiza sana baadhi ya w$3nge kuona kama yule jamaa Ontario ndiye kaitengeneza fx..

Wakati ameikuta na itaendelea kuwepo, kila ukisemea haya masuala watu Wana refer Ontario, who is Ontario? Ontario ni nothing kwenye haya masuala, amejifunza kama wengine, yeye sio master, yeye sio best trader kuliko wote, yeye ni mtafutaji kama mentors wengine, kufeli kwake it's not guarantee wengine watafeli.

Yeye sio institute au bank, so tuacheni ujinga...

Jamiiforums imekuwa na wajuaji wengi, wajuaji njaa.. kuna jamaa alinambia jf wanaojua vitu wapo kimya, cause wakitaka kuchangia kuna wa$3nge wajuaji njaa wanapinga kila kitu...

Inaudhi sana...

Mkuu hongera sana, we komaa na Crypto, usione hata noma kusema una trade fx kisa w@$3nge mbu mbu mbu...
 
Mkuu tatizo kuna kageneration flani hivi ka washamba wameingia mjini baasi taabu tupu. Huyo Ontario mwenyewe Mbwiga tuu..
 
Cardano gani ulinunua wiki iliyopita $0.0001? Mbona hii coin ishavuka $1 kitambo
Mkuu ni kweli market itakuwa nzuri hadi mwisho wa mwaka huu ukiinvest kwenye crypto ? Halafu itashuka hadi mwezi wa nne April next year na kupanda tena.? Nimesikia wanao wekeza sasa hivi hadi December watakuwa kwenye mazingira mazuri ya kufaidika?
 
Huwa inachukiza sana baadhi ya w$3nge kuona kama yule jamaa Ontario ndiye kaitengeneza fx..

Wakati ameikuta na itaendelea kuwepo, kila ukisemea haya masuala watu Wana refer Ontario, who is Ontario? Ontario ni nothing kwenye haya masuala, amejifunza kama wengine, yeye sio master, yeye sio best trader kuliko wote, yeye ni mtafutaji kama mentors wengine, kufeli kwake it's not guarantee wengine watafeli.

Yeye sio institute au bank, so tuacheni ujinga...

Jamiiforums imekuwa na wajuaji wengi, wajuaji njaa.. kuna jamaa alinambia jf wanaojua vitu wapo kimya, cause wakitaka kuchangia kuna wa$3nge wajuaji njaa wanapinga kila kitu...

Inaudhi sana...

Mkuu hongera sana, we komaa na Crypto, usione hata noma kusema una trade fx kisa w@$3nge mbu mbu mbu...
Babu..
Hiki kiinchi ni bado kiko kwenye zama za giza , mijitu mizwazwa na elimu yao ni bado wanajua maisha kukimbiza ajira, zaidi ya hayo maisha ni utapeli na wengi ni miporipori ya vijiji pamoja na elimu yaani "you can get the idiots out of village life, but you cant get the village life out of the idiots.
Nigeria na jirani zetu Kenya wako mbali sana kwenye mabadiliko chanya kama haya....
 
Jaman mimi naomba kujua ni kiasi gani naweza anza nacho kuinvest
Mkuu jifunze kwanza kuhusu crypto usiingie kichwa kichwa. Pia Soma comments humu Namuona member Gushleviv na Greg50 wanaifaham vema. Ila kwa wiki hizi mbili kwenye crypto nimejifunza dollars unaweza ukawekeza hata 50. Mimi niliinvest 500. Kuna account nyingi za crypto na coins nyingi za kununua sasa hapo
 
Shukrani
 
Babu..
Hiki kiinchi ni bado kiko kwenye zama za giza , mijitu mizwazwa na elimu yao ni bado wanajua maisha kukimbiza ajira, zaidi ya hayo maisha ni utapeli na wengi ni miporipori ya vijiji pamoja na elimu yaani "you can get the idiots out of village life, but you cant get the village life out of the idiots.
Nigeria na jirani zetu Kenya wako mbali sana kwenye mabadiliko chanya kama haya....
Acheni porojo nyie. Hapa kuna kaharufu ka upigaji hakuna hela za bure ni kufanya kazi tu na uzalishaji mali baas. Kuna mapori mapana lukuki nchini, vyanzo vya maji, ardhi yenye rotuba. Tufanyeni kazi jamani.
 
Mkuu jifunze kwanza kuhusu crypto usiingie kichwa kichwa. Pia Soma comments humu Namuona member Gushleviv na Greg50 wanaifaham vema. Ila kwa wiki hizi mbili kwenye crypto nimejifunza dollars unaweza ukawekeza hata 50. Mimi niliinvest 500. Kuna account nyingi za crypto na coins nyingi za kununua sasa hapo
Siwezi shuka zaidi ya hapo labda dola 25 hivi
 
Acheni porojo nyie. Hapa kuna kaharufu ka upigaji hakuna hela za bure ni kufanya kazi tu na uzalishaji mali baas. Kuna mapori mapana lukuki nchini, vyanzo vya maji, ardhi yenye rotuba. Tufanyeni kazi jamani.
Naona Mkaldayo umeanza kuleta Mambo yako ya Uyebusi🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom