Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Tayari Mkuu...🤣🤣🤣Wale wajuaji niliokuwa nawaambieni wameingia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari Mkuu...🤣🤣🤣Wale wajuaji niliokuwa nawaambieni wameingia...
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.
Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account ya moja za crypto currency kumbuka mimi bado mgeni kwenye mambo haya.
Leo nimeangalia nimepata faida ya 900 dollars kwa 500 dollars niliyoinvest na inapanda.
Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo. Ukiinvest tu kwenye coin nzuri unaweza kutoka sana na faida nyingi na kubwa.
Ni vizuri pia kujifunza kabla ya ku invest mtandaoni ama unamjua rafiki ambaye yumo kwenye gemu kwa muda. Kuna coins nyingi sana kwenye crypto nimeuja kujua.
Coin yenye thamani sasa hivi ni Bitcoin na Bitcoin moja ni 61,000 USD. Na miaka 10 iliyopita ilikuwa 50 cents.
Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa.
Crypto si upigaji
Karibuni kwenye mjadala
Sawa mkuu nilinunua cardarno
Aiseee...Acheni porojo nyie. Hapa kuna kaharufu ka upigaji hakuna hela za bure ni kufanya kazi tu na uzalishaji mali baas. Kuna mapori mapana lukuki nchini, vyanzo vya maji, ardhi yenye rotuba. Tufanyeni kazi jamani.
Acha uongo na DYOR.Nimekosea mkuu najifunza bado nilisoma pahali. Inaonekana huko deep kwenye hii cypto. Uzoefu wako tafadhali. I
Ni hapa ndipo palinichanganya mkuuAcha uongo na DYOR.
View attachment 1995178
Cardano gan ulinunua ukapata faida kubwa hvyo, na cardano uwa inapanda taratibu sana. Acha kudanganya watu
Ni kweli mkuu kabisa mkuu. Tuseme umeinvest kama 1000 kwenye coin ambayo ilikuwa dollar moja halafu ipande hadi 1000Napenda sana nijifunze how to trade. Ukiwin hii kitu unaweza ishi kama freemason.
Kuna shabiki mmoja maarufu wa mpira wa miguu wa timu ya taifa alihojiwa anawezaje kusafiri kila nchi kushabikia timu akajibu kwa ufupi anatrade.
Yaani ukiwa smart hii kitu inaweza kukufanya uishi kifalme.
Mkuu cryptos ziko volatile sana, ni ngumu kupredict itapanda au itashuka. We fikiria tuu, Elon Musk akitweet kuhusu crypto, market inahama kabisa.Mkuu ni kweli market itakuwa nzuri hadi mwisho wa mwaka huu ukiinvest kwenye crypto ? Halafu itashuka hadi mwezi wa nne April next year na kupanda tena.? Nimesikia wanao wekeza sasa hivi hadi December watakuwa kwenye mazingira mazuri ya kufaidika?
Ushachomoa betry kakaJibu langu la siku zote ni kuwa HAKUNA MTU ANAEGAWA PESA ZA BURE DUNIANI.
Hivyo ukiona umekula tarajia kuwashawishi watu mia moja na hao wanaenda kuliwa.
Hakuna utajiri Rahisi duniani
Hapo kwenye buying low and selling high.Nani kakwambia kwenye Bitcoin wanagawa pesa bure? Its all about buying low and selling high..kinyume na hapo ni Ponzi Scheme.
Kwani mkipiga hela nyie ni lazma uwaambie na wenzio?Huwa inachukiza sana baadhi ya w$3nge kuona kama yule jamaa Ontario ndiye kaitengeneza fx..
Wakati ameikuta na itaendelea kuwepo, kila ukisemea haya masuala watu Wana refer Ontario, who is Ontario? Ontario ni nothing kwenye haya masuala, amejifunza kama wengine, yeye sio master, yeye sio best trader kuliko wote, yeye ni mtafutaji kama mentors wengine, kufeli kwake it's not guarantee wengine watafeli.
Yeye sio institute au bank, so tuacheni ujinga...
Jamiiforums imekuwa na wajuaji wengi, wajuaji njaa.. kuna jamaa alinambia jf wanaojua vitu wapo kimya, cause wakitaka kuchangia kuna wa$3nge wajuaji njaa wanapinga kila kitu...
Inaudhi sana...
Mkuu hongera sana, we komaa na Crypto, usione hata noma kusema una trade fx kisa w@$3nge mbu mbu mbu...
Mkuu mimi nafanya kazi siyo eti ntategemea tu crypto. Iyo 500 USD nimeinvest tu mkuu kama Pata potea ila nilivoona hii faida imenipa moyo. Pia ukiwa na akili timamu huwezi wekeza hela yako yote.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Cardano gani ulinunua wiki iliyopita $0.0001? Mbona hii coin ishavuka $1 kitambo
what can you buy with this invisible cash of yours? lets say you want out of the investment, how much real currency will you get?Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.
Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account ya moja za crypto currency kumbuka mimi bado mgeni kwenye mambo haya.
Leo nimeangalia nimepata faida ya 900 dollars kwa 500 dollars niliyoinvest na inapanda.
Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo. Ukiinvest tu kwenye coin nzuri unaweza kutoka sana na faida nyingi na kubwa.
Ni vizuri pia kujifunza kabla ya ku invest mtandaoni ama unamjua rafiki ambaye yumo kwenye gemu kwa muda. Kuna coins nyingi sana kwenye crypto nimeuja kujua.
Coin yenye thamani sasa hivi ni Bitcoin na Bitcoin moja ni 61,000 USD. Na miaka 10 iliyopita ilikuwa 50 cents.
Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa.
Crypto si upigaji
Karibuni kwenye mjadala
You nailed it mkuu.Nani kakwambia kwenye Bitcoin wanagawa pesa bure? Its all about buying low and selling high..kinyume na hapo ni Ponzi Scheme.