TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi.
Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama hasa kwenye matumizi ya fedha isiyo na mipaka.
Baadhi ya watu wanaona hizi pesa za kidigitali ni uwizi wa kisomi kwa wale wasioelewa nje/ndani na kuamua kuuponda.
Kadharika, dhamira ya kimataifa ya jamii ya kiislam imeona isibaki nyuma na sasa imeamua kuleta fedha ya kidigitali kwa ajili ya jamaa ya kiislam na ambayo haitakuwa na makato, ushuru wala zile kero nyenginezo mnazozifahm.
Islamic Coin (unaweza kuiita hivyo) au Sarafu ya Kiislamu, kwa muktadha ya uialam ni Haramu?.
Naweza kusema HAPANA kwa sababu hakuna mahali katika Quran ambapo sarafu ya kidijitali ilipendekezwa au kuzuiwa ni mawazo tu!.
ISLM itawezesha jumuiya ya Kiislamu duniani kwa kutumia kifedha hiyo itauwezesha umma kufanya miamala na mwingiliano bila conflict of boundaries huku ikiunga mkono uvumbuzi na uhisani kutoka mahala tofauti duniani.