Cryptocurrency ya Kiislam yaingia Sokoni

Usinikumbushe bitcoin huwa nataman nijiue, coz zikiwa 2300 ndo niliijua hii sarafu miaka ya 2009 ama na 10 enzi hizo sakata la deci ndo nimeingia kwenye ajira, nlitaka ninunue za laki2 jamaa mmoja akaniambia unapigwa mchana kweupe nikaogopa
 
Kuitwa Islamic coin haimanishi ni halali au haram .....watu watofautiane kwenye issue za miezi kuandama na issue za siku ya arafa ibada kubwa kama hizo ije kuwa digital coin ambayo shubaa yake ipo wazi


Hizo blah blah waislam hatupo hivyo!....mbona wamekuja wale wa laa riba na watu wamewakataa maana ukiufuta vizuri mualama ni haram mubiim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…