Crystal Palace Football Club ndio Mabingwa wa kombe la #FA.

Crystal Palace Football Club ndio Mabingwa wa kombe la #FA.

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Hatimaye kwa mara ya kwanza hii leo klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kushinda taji lake kubwa la kwanza baada ya miaka 119 ya msoto kupita tangu klabu hiyo ianzishwe.
Crystal Palace imetwaa taji hilo la FA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Manchester City.
Ushindi huu unawapa nafasi klabu ya Crystal Palace kushiriki michuano ya UEFA Europa kwa msimu ujao wa 2025/26.
Kama Crystal Palace wameweza, Simba anashindwa nini
⏰
FT: Crystal Palace 1-0 Man City
 
Back
Top Bottom