CS sFaxien inayocheza na Simba kombe la Shirikisho, tumeijua leo

CS sFaxien inayocheza na Simba kombe la Shirikisho, tumeijua leo

Umesema pointi mbili, sio point sifuri
Wewe nawe punguza wenge na kukurupuka umeambiwa raundi ya tatu walikuwa na point mbili wewe unaongelea raundi ya pili. Suburi leo ndio mechi ya raundi ya tatu.
 
Wewe nawe punguza wenge na kukurupuka umeambiwa raundi ya tatu walikuwa na point mbili wewe unaongelea raundi ya pili. Suburi leo ndio mechi ya raundi ya tatu.
Kwani leo kuna point itaongezeka? Nijuavyo, leo inaongezeka raundi
 
Nakukumbusha tu kuwa msimu uliopita hadi raundi ya tatu Yanga alikuwa anaburuza mkia kwa kupata point 2 tu lakini mwisho wa siku alifuzu.
Kuhusu Tp Mazembe, timu yako ya Simba haikuwahi kumfunga Tp Mazembe hata mechi moja kwenye michuano ya CAF wakati Yanga alishaifunga Tp Mazembe nje ndani kwenye mashindano ya CAF kwahiyo tulizana wewe kibonde wa Tp Mazembe hii vita haikuhusu.
Simba alikutana na tp mazembe ikiwa katika kilele cha ubora wake wakati simba ndio alikuwa anajitafuta kimataifa. Yanga alikutana na tp mazembe mbovu iliyotolewa na vipers na vipers akaliwa nje ndani na simba.

Kama ulifungwa na us monastir away 2 bila usingeweza kuifunga mazembe ya kidiaba na tresor mputu. Kiufupi yanga mlipata bahati kukutana na mazembe mbovu.
 
Nakukumbusha tu kuwa msimu uliopita hadi raundi ya tatu Yanga alikuwa anaburuza mkia kwa kupata point 2 tu lakini mwisho wa siku alifuzu.
Kuhusu Tp Mazembe, timu yako ya Simba haikuwahi kumfunga Tp Mazembe hata mechi moja kwenye michuano ya CAF wakati Yanga alishaifunga Tp Mazembe nje ndani kwenye mashindano ya CAF kwahiyo tulizana wewe kibonde wa Tp Mazembe hii vita haikuhusu.
Msimu huu hali ni tofauti kwasababu kwanza uto wameshuka kiwango hawapo kwenye ubora wao so ni ngumu kuwa na uhakika wa kupata matokeo mazuri home au away pili kwakuwa timu nyingi zina uwezo unaokaribiana huku uto akiwa yuko chini ni rahisi kila timu kushinda kwake.

Mc alger akishinda mechi zake zote za nyumbani atakuwa na points 10.

Al hila akishinda mechi zake zote za nyumbani atakuwa na points 12.

Yanga mkishinda mechi zenu zote za nyumbani na mchezo wa leo mtakuwa na points 9.

Je mtakuwa mmefuzu au mmekula za uso?
 
Hawa watani mbumbumbu
Haiwezi kupitwa siku bila kuwapopoa[emoji3][emoji1787]
Japo kuwapa maudhi ya hapa na pale
Wee umesha changanyikiwa, na leo ndo utazima kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom