Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
katoto ka 2000 kamepewa fursa ya kuongea mbele ya wazee...
ona sasa shudu...
ona sasa shudu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa walau unaitambua CS Sfaxien (kupitia kiki ya kuifananisha na Mazembe, kama alivyofanya Willy Paul kwa Diamond). Nilitaka nitoe awareness kwa mleta mada ngara23 ambaye katika maisha yake yote hadi jana, alikuwa haijui kabisa CS Sfaxien. Hakuwahi kuisikia kwa kuwa Manara hakumtajia, na hakujua ni moja ya timu za Afrika zilizohifadhi kabatini makombe ya kutosha ya michuano miwili ya CAF na kufika semis za kutosha.Hata ukichukua takwimu za miaka 2000's bado CS Sfaxien hawezi kuizidi TP Mazembe kwa mataji.
Wapi niliposema siitambui CS Sfaxien? Unadhani kila mtu wa kumuongopea humu? Eti kabisa unaongea bila aibu eti CS Sfaxien imeizidi TP Mazembe kwa makombe ya CAF, halafu unakuja kujisifia nawe unaujua mpira wa Africa. Kiufupi hauna tofauti na mleta uzi kama tu umeshindwa kuipa heshima yake Tp Mazembe mbele ya CS SfaxienSasa walau unaitambua CS Sfaxien (kupitia kiki ya kuifananisha na Mazembe, kama alivyofanya Willy Paul kwa Diamond). Nilitaka nitoe awareness kwa mleta mada ngara23 ambaye katika maisha yake yote hadi jana, alikuwa haijui kabisa CS Sfaxien. Hakuwahi kuisikia kwa kuwa Manara hakumtajia, na hakujua ni moja ya timu za Afrika zilizohifadhi kabatini makombe ya kutosha ya michuano miwili ya CAF na kufika semis za kutosha.
Mpila ni kitu gani?Wew sio mtu wa mpila ndiomana huijui
Eti mpila matamshi ya hivyo yanakera kinouma😁😁Mpila ni ndomu😀😅
Mkuu swali lako haliwezi kujibiwa ili kulinda mjadala unaoendelea!!Yanga ana point ngapi uko club bingwa naombwa kujuzwa mm sio mtu wa sports
Yanga ina point 0 hivyo baada ya kucheza michezo miwili wanakamata nafasi yao ya mwisho kama ilivyokuwa msimu uliopita baada ya mechi mbili walikuwa na point moja tu na kushika mkia ila mwisho wa siku wakafuzu. Hivyo tuweke akiba ya manenoYanga ana point ngapi uko club bingwa naombwa kujuzwa mm sio mtu wa sports
Football mkuuMpila ni kitu gani?
Unaitwa mpira na sio mpila.Football mkuu
Watoto wa kulishwa taarifa ndio shida yao aka spoon feedingSasa walau unaitambua CS Sfaxien (kupitia kiki ya kuifananisha na Mazembe, kama alivyofanya Willy Paul kwa Diamond). Nilitaka nitoe awareness kwa mleta mada ngara23 ambaye katika maisha yake yote hadi jana, alikuwa haijui kabisa CS Sfaxien. Hakuwahi kuisikia kwa kuwa Manara hakumtajia, na hakujua ni moja ya timu za Afrika zilizohifadhi kabatini makombe ya kutosha ya michuano miwili ya CAF na kufika semis za kutosha.
Hongera na wewe mkuuHongera mkuu
Kwahiyo hata akituchapa Jumamosi ni sawa tu vile sisi ni wanyonge underdog wa kundi.Kumbe huijui vizuri TP Mazembe kwa mataji ya CAF.
Champions league wamebeba mara 5
Mwaka 1967,1968,2009,2010 na 2015
Kwahiyo wao Simba wakimfunga Sifaxen hakuna walichofanya na sisi tukifungwa na TP Zembe tutashangilia kufungwa. Wananchi hoyeeeiiiiiiiTp Mazembe Jumla wana makombe 11 ya CAF je utalinganisha vipi na hao CS Sfaxien ambao wana vikombe vinne tu vya CAF?
Takataka umeandikaMashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani
Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi?
Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa na Dodoma Jiji huku Tanzania
Timu kubwa Tunisia ni ES Tunis, Club Africain na Monastir lakini hili timu la ajabu sisi hatulijui
😀😅Tutasikia mtani anatamba eti nae anacheza kimataifa
Kimataifa Gani au UMISETA
Yanga tupo club bingwa tunachezea na team kubwa kama TP Mazembe, MC Alger, Al Ahly, Mamelod, ambazo hizi timu haziwezi kucheza shirikisho yaani mashindano ya akina mama
5imba acheni kufuru kufananisha CAFCL na Mashindano madogo ya Shirikisho
Msijipe ukubwa fake na mpo shirikisho
Ubaya ubwege
Yanga bingwa
Kumbe sawa boss nmekuelewaUnaitwa mpira na sio mpila.
Nakukumbusha tu kuwa msimu uliopita hadi raundi ya tatu Yanga alikuwa anaburuza mkia kwa kupata point 2 tu lakini mwisho wa siku alifuzu.Kwahiyo hata akituchapa Jumamosi ni sawa tu vile sisi ni wanyonge underdog wa kundi.
Kwahiyo wao Simba wakimfunga Sifaxen hakuna walichofanya na sisi tukifungwa na TP Zembe tutashangilia kufungwa. Wananchi hoyeeeiiiiiii
Ni kesho tu, mtamfukuza SaidiNakukumbusha tu kuwa msimu uliopita hadi raundi ya tatu Yanga alikuwa anaburuza mkia kwa kupata point 2 tu lakini mwisho wa siku alifuzu.
Kuhusu Tp Mazembe, timu yako ya Simba haikuwahi kumfunga Tp Mazembe hata mechi moja kwenye michuano ya CAF wakati Yanga alishaifunga Tp Mazembe nje ndani kwenye mashindano ya CAF kwahiyo tulizana wewe kibonde wa Tp Mazembe hii vita haikuhusu.
Miaka hii 3 ya GSM kuwa pale Yanga ,umetuletea mashabiki vilaza sana!Kweli washabiki wa sasa mnakurupuka kuongea usichokijua,ingia kwenye rekodi za CAF 2013 uone ilifanya nini na ulinganishe mafanikio na timu yako unayoipenda, kweli huu mpira kwa nchi umeficha mambo mengi sana
Umesema pointi mbili, sio point sifuriNakukumbusha tu kuwa msimu uliopita hadi raundi ya tatu Yanga alikuwa anaburuza mkia kwa kupata point 2 tu lakini mwisho wa siku alifuzu.