Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Unajidhalilisha tu maana hujui lolote kuhusu vilabu vya Tunisia. Unawezaje kuiacha Etoile du Sahel katika list ya timu za juu kabisa Tunisia? Etoile du Sahel ina mataji mengi ya CAF kushinda vilabu vyote vya Tunisia .Timu kubwa Tunisia ni ES Tunis, Club Africain na Monastir lakini hili timu la ajabu sisi hatulijui
1 CAF Champions League
2 CAF Super Cup titles
2 CAF Confederation Cup titles
2 African Cup Winners' Cup.
Halafu eti unaitaja Monastir na kuiacha ESS