Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
point 0 mkianiYanga ana point ngapi uko club bingwa naombwa kujuzwa mm sio mtu wa sports
Hahahhhaha daaah sina la kusemaCS Sfaxien imeanzishwa mwaka 1928 ni kubwa kuliko Yanga na Simba yako mbwa wewe.
Imeshinda Taji la Africa confederation Cup Mara 3, 2007, 2008 na 2013
Matako yako hujui kitu zaidi ya mpira nyuma mwiko mkubwa wewe.
Nyuma mwiko hawajawahi kuwa na akili.Daah Labani og kapokewa kijiti...utopolo mtachanganyikiwa mmoja baada ya mwingine
Kitu kinachomata ni Matokeo mkuu.Mashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani
Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi?
Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa na Dodoma Jiji huku Tanzania
Timu kubwa Tunisia ni ES Tunis, Club Africain na Monastir lakini hili timu la ajabu sisi hatulijui
😀😅Tutasikia mtani anatamba eti nae anacheza kimataifa
Kimataifa Gani au UMISETA
Yanga tupo club bingwa tunachezea na team kubwa kama TP Mazembe, MC Alger, Al Ahly, Mamelod, ambazo hizi timu haziwezi kucheza shirikisho yaani mashindano ya akina mama
5imba acheni kufuru kufananisha CAFCL na Mashindano madogo ya Shirikisho
Msijipe ukubwa fake na mpo shirikisho
Ubaya ubwege
Yanga bingwa
Ngoja aliwe kiboga jumamosi Ndio atapata akili.Na ukitaka kujua huyu ngara23 mpira unampeleka kasi na ana dalili zote za changamoto ya afya ya akili kitengo cha mpira...kumbukeni alishaaga humu jukwaani kwa sbb ya kuvurugwa na matokeo ya timu lake bovu..ila karudi tena sasa ili ajisikie vzr kila saa anaanzisha mada hata isiyo na kichwa wala miguu..##uraibu##
Heloo mtani nakusalimia...hahahha
Hivi wanacheza jumamosi au jumapili???Mashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani
Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi?
Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa na Dodoma Jiji huku Tanzania
Timu kubwa Tunisia ni ES Tunis, Club Africain na Monastir lakini hili timu la ajabu sisi hatulijui
😀😅Tutasikia mtani anatamba eti nae anacheza kimataifa
Kimataifa Gani au UMISETA
Yanga tupo club bingwa tunachezea na team kubwa kama TP Mazembe, MC Alger, Al Ahly, Mamelod, ambazo hizi timu haziwezi kucheza shirikisho yaani mashindano ya akina mama
5imba acheni kufuru kufananisha CAFCL na Mashindano madogo ya Shirikisho
Msijipe ukubwa fake na mpo shirikisho
Ubaya ubwege
Yanga bingwa
Ni bora kunyamaza ili kuficha umbumbumbu kama huu.Utakuta na wewe ni mke wa mtu hapo ulipo!Mashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani
Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi?
Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa na Dodoma Jiji huku Tanzania
Timu kubwa Tunisia ni ES Tunis, Club Africain na Monastir lakini hili timu la ajabu sisi hatulijui
[emoji3][emoji28]Tutasikia mtani anatamba eti nae anacheza kimataifa
Kimataifa Gani au UMISETA
Yanga tupo club bingwa tunachezea na team kubwa kama TP Mazembe, MC Alger, Al Ahly, Mamelod, ambazo hizi timu haziwezi kucheza shirikisho yaani mashindano ya akina mama
5imba acheni kufuru kufananisha CAFCL na Mashindano madogo ya Shirikisho
Msijipe ukubwa fake na mpo shirikisho
Ubaya ubwege
Yanga bingwa
Tena hadi Israel Mwenda aligoma kupelekwa kwa mkopo huko, akasaini YangaKumbe Kuna timu Inaitwa CS Sfaxien [emoji1787][emoji23]
Mwenye akili huko utopolo ni ww tuu mtani wangu..huwa huongozwi na mihemuko kama juha...Mkuu mbona hiyo timu ni ya zamani sana na ndio inaongoza kwa kuchukua mara nyingi kombe la shirikishoo
Ulikua haujui hilooo umezodolewaaa hahahaHawa watani mbumbumbu
Haiwezi kupitwa siku bila kuwapopoa😀🤣
Japo kuwapa maudhi ya hapa na pale