Unajua Kazi na Tunaangalia nini kwenye Kila Kipimo?Habari Wana JF
Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa.
Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua
MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji wake nilazma madokta wajifungie ili kuepuka mionzi ila wewe mgonjwa unatoswa kwenye mionzi.
Je kwanini madaktari wasiweke option ya mgonjwa kuchagua kileanachoona hakinamadhara kwake hatakama gharama nikubwa ili kujiepusha namagonjwa mengine ambayo yanaweza kujitokeza miaka ya baadae kama saratani ??
MRI kinauwezo wakupima vituvyote iwaje usipendekeze hicho kama mgonjwa karidhia kulipia?Unajua Kazi na Tunaangalia nini kwenye Kila Kipimo?
Kila kipimo kina Sifa zake na Matakwa ya Daktari kuangalia Feature zipi anazotaka..
Gen zege mna shida sanaHabari Wana JF
Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa.
Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua
MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji wake nilazma madokta wajifungie ili kuepuka mionzi ila wewe mgonjwa unatoswa kwenye mionzi.
Je kwanini madaktari wasiweke option ya mgonjwa kuchagua kileanachoona hakinamadhara kwake hatakama gharama nikubwa ili kujiepusha namagonjwa mengine ambayo yanaweza kujitokeza miaka ya baadae kama saratani ??
Kazi inayofanywa na CT inawezwapia kufanywa na MRI na siokila kazi inayofanywa na MRI ,CT inawezaMgonjwa achague nini akitumie kwani CT Scan na MRI zina kazi moja ?
Kazi inayofanywa na CT inawezwapia kufanywa na MRI na siokila kazi inayofanywa na MRI ,CT inaweza
Swali lako ni zuri sana na linaweza kujibiwa kulingana na sababu za kitabibu, aina ya tatizo la mgonjwa, na malengo ya uchunguzi wa daktari. Hapa chini ni sababu kuu kwa nini MRI (Magnetic Resonance Imaging) huchaguliwa badala ya CT Scan (Computed Tomography):Habari Wana JF
Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa.
Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua
MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji wake nilazma madokta wajifungie ili kuepuka mionzi ila wewe mgonjwa unatoswa kwenye mionzi.
Je kwanini madaktari wasiweke option ya mgonjwa kuchagua kileanachoona hakinamadhara kwake hatakama gharama nikubwa ili kujiepusha namagonjwa mengine ambayo yanaweza kujitokeza miaka ya baadae kama saratani ??
Hapo MRI imekupa majibu ya X ray,CT napia imezama kiundani kabisa kuonesha kilichopo ndaniSio kweli
Asante kwa jibu lakini narudi kwa swali tena je ? Hayo uliyosema kua CT inafanya ukimtumia MRI huwezi pata majibu ??Swali lako ni zuri sana na linaweza kujibiwa kulingana na sababu za kitabibu, aina ya tatizo la mgonjwa, na malengo ya uchunguzi wa daktari. Hapa chini ni sababu kuu kwa nini MRI (Magnetic Resonance Imaging) huchaguliwa badala ya CT Scan (Computed Tomography):
---
1. Uwezo wa Kuonyesha Tishu Laini kwa Ubora wa Juu
MRI ina uwezo mkubwa sana wa kuonyesha tishu laini kama ubongo, uti wa mgongo, misuli, maungio (joints), mishipa (ligaments), na viungo vya uzazi.
CT scan ni nzuri kwa mifupa na damu iliyoganda, lakini siyo bora sana kwa tishu laini ikilinganishwa na MRI.
2. Hakuna Mionzi ya X-ray
MRI haitumii mionzi (radiation) – badala yake hutumia sumaku na mawimbi ya redio.
CT scan hutumia mionzi ya X-ray, ambayo kwa matumizi ya mara kwa mara inaweza kuongeza hatari ya mabadiliko ya seli au saratani kwa muda mrefu.
3. Matumizi katika Uchunguzi wa Ubongo na Uti wa Mgongo
MRI hutumika sana kwa uchunguzi wa:
Kiharusi (stroke)
Uvimbe (tumors)
MS (Multiple Sclerosis)
Maumivu ya mgongo ya muda mrefu
Majeraha ya uti wa mgongo
CT scan inaweza kutumika kwa dharura, lakini MRI inaonyesha maelezo kwa undani zaidi.
4. Uchunguzi wa Maungio (Joints) na Misuli
Kwa matatizo ya:
Magoti, mabega, nyonga, na mgongo
Ligament au cartilage iliyochanika
MRI huonyesha vizuri sana hali ya ndani ya maungio kuliko CT scan.
5. Uwezo wa Kubaini Magonjwa ya Mapema
MRI inaweza kugundua mabadiliko madogo sana kwenye tishu kabla hayajaonekana kwenye CT scan.
❗ Lakini CT scan hupewa kipaumbele kwa:
Majeraha ya haraka kama ajali
Kutambua damu iliyovuja kwenye ubongo (bleeding)
Uchunguzi wa mapafu, mifupa, na figo haraka
Wagonjwa wasioweza kuingia ndani ya mashine ya MRI (kwa sababu ya kifafa, pacemaker, au vifaa vya metali mwilini)
Hitimisho
MRI huchaguliwa badala ya CT scan pale ambapo daktari anahitaji picha za tishu laini kwa ubora wa hali ya juu na anataka kuepuka mionzi. Hata hivyo, uchaguzi unategemea hali ya mgonjwa, hitaji la kitabibu, na upatikanaji wa vifaa.
Sio kweli kwamba MRI haiwezi kupima hard tissue.Sikweli.
MRI ni Kwaajili ya Soft Tissues (Ubongo, Tumbo, Mapafu n.k).
CT scan/ X-ray ni Kwaajili ya Hard tissues (Mifupa, vyuma n.k).
PET Scan ni Kwaajili ya Metabolic Activities at cellular level na hutumika katika early detection ya Tumor
Nimeishi Norway, mgonjwa unaambiwa kila kipimo, unaambiwa faida na madhara, wewe ndiyo unachagua au unaweza kuwaambia wawe huru kuchagua au kumshirikisha daktari wako binafsi kuchagua option bora zaidi. Acheni kudanganya watu madaktari uchwara wa Tanzania.Unajua Kazi na Tunaangalia nini kwenye Kila Kipimo?
Kila kipimo kina Sifa zake na Matakwa ya Daktari kuangalia Feature zipi anazotaka..
Picha ya Hard tissues za CT Scan/X-ray zina utofauti mkubwa sana na za MRI vivyo hivyo na kwa Soft Tissues. Utofauti upo kwenye details zinazoweza kupatikanika kwenye picha hizo.Sio kweli kwamba MRI haiwezi kupima hard tissue.
Kitu ninachoona madaktari wanakwepa nimuda wakutoa majibu ya vpimo sababu MRI inachukua muda
MRI haina Uwezo wa Kupima Vitu Vyote Jitahidi Ujielimisha au Uliza Kabla ya Kufanya ConclusionMRI kinauwezo wakupima vituvyote iwaje usipendekeze hicho kama mgonjwa karidhia kulipia?
Habari Wana JF
Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa.
Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua
MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji wake nilazma madokta wajifungie ili kuepuka mionzi ila wewe mgonjwa unatoswa kwenye mionzi.
Je kwanini madaktari wasiweke option ya mgonjwa kuchagua kileanachoona hakinamadhara kwake hatakama gharama nikubwa ili kujiepusha namagonjwa mengine ambayo yanaweza kujitokeza miaka ya baadae kama saratani ??
Bora uwaambie wanafikiri wagonjwa wote nikuwadanganya namgonjwa anaposhauri daktari anajikuta mkali nazarau kiuhalisia madaktari wengi siobingwa na hawana elimu ya vifaa tiba hivyo wanaishia kwakukariri waliyofundishwa darasani huwezi niambia MRI haiwezi kupima shape ya UTI wa mgongo ulivyokaaNimeishi Norway, mgonjwa unaambiwa kila kipimo, unaambiwa faida na madhara, wewe ndiyo unachagua au unaweza kuwaambia wawe huru kuchagua au kumshirikisha daktari wako binafsi kuchagua option bora zaidi. Acheni kudanganya watu madaktari uchwara wa Tanzania.
Jukumu la Daktari kuchagua kipimo gani linaongozwa na sababu nyingi mnoo. Kwa mfano.Sio kweli kwamba MRI haiwezi kupima hard tissue.
Kitu ninachoona madaktari wanakwepa nimuda wakutoa majibu ya vpimo sababu MRI inachukua muda