KERO CT scan na MRI kwanini mgonjwa hapewi option ya kuchagua?

KERO CT scan na MRI kwanini mgonjwa hapewi option ya kuchagua?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Habari Wana JF
Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa.
Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua

MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji wake nilazma madokta wajifungie ili kuepuka mionzi ila wewe mgonjwa unatoswa kwenye mionzi.

Je kwanini madaktari wasiweke option ya mgonjwa kuchagua kileanachoona hakinamadhara kwake hatakama gharama nikubwa ili kujiepusha namagonjwa mengine ambayo yanaweza kujitokeza miaka ya baadae kama saratani ??
Kwa hyo unajua mambo ya afya ww lakini mionz Inapigwa na madokta au na sindano u accompanied na madokta mpk nasoma hilo neno madokta ww unaleta habari za kusikia kutoka kwa wamama walio nje ya dirisha lako achana nazo hzo no taalum za watu tofaut sio madokta unavoita ww
 
Jukumu la Daktari kuchagua kipimo gani linaongozwa na sababu nyingi mnoo. Kwa mfano.
1. Uwepo wa kipimo mahali alipo
2. Gharama za kifedha kwa mgonjwa
3. Muda wa kupata majibu.
4. Madhara/usumbufu ya kipimo kwa mgonjwa.
5. Uhakika wa kupata matokeo bora
6. Matarajio ya aina ya matokeo ambayo anayatarajia.
7. Ubobezi wa Daktari katika kutafsiri matokeo ya kipimo.

Mwisho tunarudi pale pale, hilo julumu la kuchagua kipimo linapaswa kufanya na Daktari tu, kwa 100%.
Yy anawaita madokta wanajifungia kuogopa mionzi hahaaa jf jf
 
Bora uwaambie wanafikiri wagonjwa wote nikuwadanganya namgonjwa anaposhauri daktari anajikuta mkali nazarau kiuhalisia madaktari wengi siobingwa na hawana elimu ya vifaa tiba hivyo wanaishia kwakukariri waliyofundishwa darasani huwezi niambia MRI haiwezi kupima shape ya UTI wa mgongo ulivyokaa 😂
Kama wewe mgonjwa unadhani kazi ya kutibu ni rahisi na unaimudu basi ungetulia zako nyumbani na kujitibu wewe mwenyewe na ukipenda uchague na kipimo cha kujipima.


Ukiamua kwenda hospitali, basi acha ujuaji, hizo blah blah za nini upimwe muachie Daktari mwenyewe, unayo haki ya kujadiliana naye, na ukiona anachotaka kukupima haiko tayari basi unayo haki ya kukataa, lakini HAUNA HAKI YA KUMLAZIMISHA AKUTUME UKAFANYE KIPIMO FULANI AMBACHO WEWE UNAKITAKA TU.
 
Jukumu la Daktari kuchagua kipimo gani linaongozwa na sababu nyingi mnoo. Kwa mfano.
1. Uwepo wa kipimo mahali alipo
2. Gharama za kifedha kwa mgonjwa
3. Muda wa kupata majibu.
4. Madhara/usumbufu ya kipimo kwa mgonjwa.
5. Uhakika wa kupata matokeo bora
6. Matarajio ya aina ya matokeo ambayo anayatarajia.
7. Ubobezi wa Daktari katika kutafsiri matokeo ya kipimo.

Mwisho tunarudi pale pale, hilo julumu la kuchagua kipimo linapaswa kufanya na Daktari tu, kwa 100%
Hivi hamuoni kua kunamadhara yakumpiga mgonjwa X-ray kilamara ?? Tusiishi kwakuangalia Leo tuu yamgonjwa .hiyo mionzi nihatari kwaafya yamgonjwa kwabadae

Mimi nilishakua namgonjwa mwenye tatizo lakucheza kwa disk za UTI wa mgongo aliambiwa akafanye x-ray ila niliongea nadaktar akanibishia sana upande wakipimo alichopendekeza ila baada ya kumpulizia mpunga akabadilishiwa akawekwa kwenye MRI namajibu yalipatikana naukumbuke wakati huo alishaniambia kua hilotatizo haliwez gundulika kwa MRI
 
Inategemea hapo kipi kinawapa hela nzuri.
Umewaza kitoto sana.
Daktari anayefanya kazi katika hospitali ya serikali, anapokuwa mama mjamzito ambaye anatibiwa bure kwa msamaha, halafu Daktari akachagua huyo mgonjwa akanye kipimo cha gharama kubwa hapo hospitalini.
Embu niambie huyo Daktari anapata faida ipi kubwa?
 
Bora uwaambie wanafikiri wagonjwa wote nikuwadanganya namgonjwa anaposhauri daktari anajikuta mkali nazarau kiuhalisia madaktari wengi siobingwa na hawana elimu ya vifaa tiba hivyo wanaishia kwakukariri waliyofundishwa darasani huwezi niambia MRI haiwezi kupima shape ya UTI wa mgongo ulivyokaa
Wajifanya wanajua kila kitu, wamekariri ndiyomaana tuko nyuma sana kwenye sekta ya afya.
 
Bora uwaambie wanafikiri wagonjwa wote nikuwadanganya namgonjwa anaposhauri daktari anajikuta mkali nazarau kiuhalisia madaktari wengi siobingwa na hawana elimu ya vifaa tiba hivyo wanaishia kwakukariri waliyofundishwa darasani huwezi niambia MRI haiwezi kupima shape ya UTI wa mgongo ulivyokaa
Kajifunze kwanza kuwa CT Scan, X-ray & MRI hazitumiki Kupima bali Kupata picha, Alafu ndo uanze kuuliza juu ya uamuzi wa kitaalamu kutoka kwa Daktari.
 
Kama wewe mgonjwa unadhani kazi ya kutibu ni rahisi na unaimudu basi ungetulia zako nyumbani na kujitibu wewe mwenyewe na ukipenda uchague na kipimo cha kujipima.


Ukiamua kwenda hospitali, basi acha ujuaji, hizo blah blah za nini upimwe muachie Daktari mwenyewe, unayo haki ya kujadiliana naye, na ukiona anachotaka kukupima haiko tayari basi unayo haki ya kukataa, lakini HAUNA HAKI YA KUMLAZIMISHA AKUTUME UKAFANYE KIPIMO FULANI AMBACHO WEWE UNAKITAKA TU.
Sio kwamba daktari anapangiwa nikushauriana na daktari sababu kwahyo matatizo ukiwa njee ya nchii unauhuru wakushauriana na daktari, madaktari anakupa faida na hasara na gharama wewe ndiounachagua unapendakipi naunatia Saini kabisa kwenye fomu kua umekubali kulingana naelimu ulopewa.

Kinachobaki nikwawataalamu wakupiga picha sehemu husika
 
Nimeishi Norway, mgonjwa unaambiwa kila kipimo, unaambiwa faida na madhara, wewe ndiyo unachagua au unaweza kuwaambia wawe huru kuchagua au kumshirikisha daktari wako binafsi kuchagua option bora zaidi. Acheni kudanganya watu madaktari uchwara wa Tanzania.
Hata Tanzania Tinafanya hivyo ila Inategemea Na nataka Nipime nini

Ngoja Niwape somo Kidogo maana Hamjui na Hamtaki kukubali kuwa Hamjui..

Kwenye MRI mara Nyingi Tunaangalia Pathology za Tishu laini (soft tissues) kama ubongo, uti wa mgongo, misuli, mishipa ya damu, na baadhi ya viungo, Na Hii Ndo inatupa Picha nzuri za Soft tissue na Inapiga Picha kwenye mfumo wa Mulplanar ambayo inasaidia kuona picha kwenye Pande zote yaani 3D


KWAHIYO kalilini hili kuwa MRI hufanya Uchunguzi wa magonjwa ya ubongo, uti wa mgongo, majeraha ya misuli na viungo, uvimbe, mishipa ya damu.,, Tu na Hauwezi kuhusika na Ukaguzi wa Mifupa sijui kana naeleweka..

KwenyE CT scan..
Inawealza Kufanya kazi kama MRI ila tofauti yake ni kwamba CT inapima Mifupa na Kingine kwenye CT tunaangalia sana Mfupa, mapafu, viungo vya ndani, mishipa mikubwa, uvimbe, damu kwenye ubongo.na Ndo inakuwa Prefarable kwenye Hudkma za Dharura kwa sababu ni ya Haraka ,, Ina hasara Moja Kuwa CT Scan inatumia Mionzi mikubwa sana Kuliko XRAY na Kuna wakati huwa tunatumia contrast na contsrast inaweza Kuleta matatizo ya Figo auu Allrgic rxn kwahyo ndo maana haiwezi kuwa Chagua la Kwanza ila Inawwza Kugundua Majeraha makubwa, kugundua kansa, magonjwa ya mapafu, magonjwa ya tumbo, kugundua damu kwenye ubongo.Ila haiwezi kupima Soft tissue Kama MRI ba Kupima magonjwa ya Ubongo na Neural..

Kwahyo Kila Kipimo Kiko Tofauti
 
Kajifunze kwanza kuwa CT Scan, X-ray & MRI hazitumiki Kupima bali Kupata picha, Alafu ndo uanze kuuliza juu ya uamuzi wa kitaalamu kutoka kwa Daktari.
Kwahyo nyie kama madaktari mnasema MRI haiwezi kutoa picha ya hard tissue??
 
Swali lako ni zuri sana na linaweza kujibiwa kulingana na sababu za kitabibu, aina ya tatizo la mgonjwa, na malengo ya uchunguzi wa daktari. Hapa chini ni sababu kuu kwa nini MRI (Magnetic Resonance Imaging) huchaguliwa badala ya CT Scan (Computed Tomography):


---

1. Uwezo wa Kuonyesha Tishu Laini kwa Ubora wa Juu

MRI ina uwezo mkubwa sana wa kuonyesha tishu laini kama ubongo, uti wa mgongo, misuli, maungio (joints), mishipa (ligaments), na viungo vya uzazi.

CT scan ni nzuri kwa mifupa na damu iliyoganda, lakini siyo bora sana kwa tishu laini ikilinganishwa na MRI.

2. Hakuna Mionzi ya X-ray

MRI haitumii mionzi (radiation) – badala yake hutumia sumaku na mawimbi ya redio.

CT scan hutumia mionzi ya X-ray, ambayo kwa matumizi ya mara kwa mara inaweza kuongeza hatari ya mabadiliko ya seli au saratani kwa muda mrefu.

3. Matumizi katika Uchunguzi wa Ubongo na Uti wa Mgongo

MRI hutumika sana kwa uchunguzi wa:

Kiharusi (stroke)

Uvimbe (tumors)

MS (Multiple Sclerosis)

Maumivu ya mgongo ya muda mrefu

Majeraha ya uti wa mgongo



CT scan inaweza kutumika kwa dharura, lakini MRI inaonyesha maelezo kwa undani zaidi.

4. Uchunguzi wa Maungio (Joints) na Misuli

Kwa matatizo ya:

Magoti, mabega, nyonga, na mgongo

Ligament au cartilage iliyochanika


MRI huonyesha vizuri sana hali ya ndani ya maungio kuliko CT scan.


5. Uwezo wa Kubaini Magonjwa ya Mapema

MRI inaweza kugundua mabadiliko madogo sana kwenye tishu kabla hayajaonekana kwenye CT scan.



❗ Lakini CT scan hupewa kipaumbele kwa:

Majeraha ya haraka kama ajali

Kutambua damu iliyovuja kwenye ubongo (bleeding)

Uchunguzi wa mapafu, mifupa, na figo haraka

Wagonjwa wasioweza kuingia ndani ya mashine ya MRI (kwa sababu ya kifafa, pacemaker, au vifaa vya metali mwilini)



Hitimisho

MRI huchaguliwa badala ya CT scan pale ambapo daktari anahitaji picha za tishu laini kwa ubora wa hali ya juu na anataka kuepuka mionzi. Hata hivyo, uchaguzi unategemea hali ya mgonjwa, hitaji la kitabibu, na upatikanaji wa vifaa.
Asante umetutoa ushamba walao tumejua tofauti zake
 
Hivi hamuoni kua kunamadhara yakumpiga mgonjwa X-ray kilamara ?? Tusiishi kwakuangalia Leo tuu yamgonjwa .hiyo mionzi nihatari kwaafya yamgonjwa kwabadae

Mimi nilishakua namgonjwa mwenye tatizo lakucheza kwa disk za UTI wa mgongo aliambiwa akafanye x-ray ila niliongea nadaktar akanibishia sana upande wakipimo alichopendekeza ila baada ya kumpulizia mpunga akabadilishiwa akawekwa kwenye MRI namajibu yalipatikana naukumbuke wakati huo alishaniambia kua hilotatizo haliwez gundulika kwa MRI
Kama umesoma maelezo yangu hapo juu na kuelewa huwezi kuandika hayo tena.

Mimi nimekwambia, kidaktari, kuna factors nyingi zinatazamwa ili kuamua ni kipimo kipi kinafaa kwa mgonjwa wake. Sio jukumu la mgonjwa kuamua (unless daktari akupe pendekezo la kuchagua) ni kipimo kipi ufanye.

Sasa kama ulimpa rushwa Daktari ili ubadilishiwe kipimo cha kufanya, hapo inaashiria nini? Huo ni uhuni tu, sio taaluma ya udaktari. Kwa lugha nyingine, ungeweza hata kumwambia daktari usifanye kabisa kipimo na angekubali. Hiyo inamsaidia vipi Daktari katika kutaka kufumbua fumbo la ugonjwa na tiba kwa ugonjwa wako?

Narudi pale pale, jukumu la kuamua upimwe na upimwe kipimo gani hilo ni jukumu la daktari kwa 100%, maana kipimo kinarakiwa kimsaidie yeye Daktari kujua vyema namna na kutatua tatizo lako.
 
bro binadamu tunaenda kusiko,tunataka kuingilia kazi za madaktari!!!!!
 
Hivi hamuoni kua kunamadhara yakumpiga mgonjwa X-ray kilamara ?? Tusiishi kwakuangalia Leo tuu yamgonjwa .hiyo mionzi nihatari kwaafya yamgonjwa kwabadae

Mimi nilishakua namgonjwa mwenye tatizo lakucheza kwa disk za UTI wa mgongo aliambiwa akafanye x-ray ila niliongea nadaktar akanibishia sana upande wakipimo alichopendekeza ila baada ya kumpulizia mpunga akabadilishiwa akawekwa kwenye MRI namajibu yalipatikana naukumbuke wakati huo alishaniambia kua hilotatizo haliwez gundulika kwa MRI
Hapana Tatizo la Mgongo Linawwza Kupimwa na MRI ...
XRay haiwez kugundua na Kuonyesha soft tissue Kama Disc za Mgongo ila MRI
 
Kwahyo nyie kama madaktari mnasema MRI haiwezi kutoa picha ya hard tissue??
Haiwezi kutoa Picha yenye details muhimu & Za kutosha ukilinganisha na CT Scan.
 
Kama umesoma maelezo yangu hapo juu na kuelewa huwezi kuandika hayo tena.

Mimi nimekwambia, kidaktari, kuna factors nyingi zinatazamwa ili kuamua ni kipimo kipi kinafaa kwa mgonjwa wake. Sio jukumu la mgonjwa kuamua (unless daktari akupe pendekezo la kuchagua) ni kipimo kipi ufanye.

Sasa kama ulimpa rushwa Daktari ili ubadilishiwe kipimo cha kufanya, hapo inaashiria nini? Huo ni uhuni tu, sio taaluma ya udaktari. Kwa lugha nyingine, ungeweza hata kumwambia daktari usifanye kabisa kipimo na angekubali. Hiyo inamsaidia vipi Daktari katika kutaka kufumbua fumbo la ugonjwa na tiba kwa ugonjwa wako?

Narudi pale pale, jukumu la kuamua upimwe na upimwe kipimo gani hilo ni jukumu la daktari kwa 100%, maana kipimo kinarakiwa kimsaidie yeye Daktari kujua vyema namna na kutatua tatizo lako.
Nisawa upo vizuri ila wakati daktari anaangalia kipimogani kitamsaidia kupata majibu kirahisi pia mgonjwa anahaki yakuangalia kipimogani hakitomletea madhara kwa baadae sababu mgonjwa akipata majibuyake yeye kashamaliza kazi ila wewe ukipata madhara nijuuyako na maishayako daktari hausiki tena.

Nivyema kama daktari Hana ustadi wakusoma kipimo akuandikie rufaa yakwenda sehemu ambayo wanauwezo nasio yeye kunganganiza
 
Hapana Tatizo la Mgongo Linawwza Kupimwa na MRI ...
XRay haiwez kugundua na Kuonyesha soft tissue Kama Disc za Mgongo ila MRI
Sasa kwanini madaktari wananganganiza wakati anajuakabisa haiwezekan??
Au niukosefu wataaluma
 
Back
Top Bottom