KERO CT scan na MRI kwanini mgonjwa hapewi option ya kuchagua?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Inaonesha, lakini kwa nini ufanyiwe kipimo cha gharama ya juu sana kwa tatizo ambalo kipimo cha kawaida kitaonesha bila shida yoyote? Mfano hospital nyingi x-ray ni kati ya Tsh. 15,000 hadi Tsh. 20,000, tofauti na MRI ambayo gharama yake si chini ya Tsh. 300,000.
Sasa ela niyako au yamgonjwa ?
Mgonjwa kakubali kutumia gharama ili kujilinda dhidi ya madhara yabaadae ikiwemo saratani wewe unalazimisha kwann msiwe mnampa mgonjwa option??
 
Mgonjwa anapokwenda hospitali hana option ya kuchagua kipimo gani afanyiwe! Ni jukumu la daktari aliyomwona kuamua ni kipimo gani afanyiwe kulingana na Daktari atakavyoona baada ya kusikiliza maelezo ya mgonjwa.
 
Sasa ela niyako au yamgonjwa ?
Mgonjwa kakubali kutumia gharama ili kujilinda dhidi ya madhara yabaadae ikiwemo saratani wewe unalazimisha kwann msiwe mnampa mgonjwa option??
Sawa, hela ni yako; pili kama hiyo option ipo na ni nzuri, ina manufaa kwako basi unapata.

X-ray inayofanywa hospitalini (standard diagnostic x-ray) ina viwango vya chini sana za mionzi ambazo hakuna madhara kwa mwili.

Saratani inaweza kutokana na kuwa katika mazingira ya kufanya kazi mara kwa mara ya kupima x-ray au kama mtu akifanyiwa x-ray mara elfu moja ndani ya saa 24 (kitu ambacho hakiwezi kutokea kamwe).

Ndiyo maana wafanyakazi wanapima x-ray huvaa nguo maalumu za kuwakinga na mionzi kwa sababu wao huwafanyia wagonjwa wengi sana kwa mwaka hivyo kuwa kwenye hatari ya kufikia na mionzi hiyo mara kwa mara. (Cumulative exposure).

Kwa hiyo kufanyiwa x-ray (standard diagnostic x-ray) ina uwezo mdogo sana wa kusababisha saratani, labda ufanyiwe mara elfu moja ndani ya saa 24. Hatari ya kupata saratani ipo kwa wanaofanya x-ray kwa sababu ya kuwafanyia watu wengi, (exposure ya mara kwa mara) hivyo huhitaji kujikinga kwa kuvaa nguo maalumu.
 
Tupe ushahidi na source ya hiliulilosema🙏
 
Habari Wana JF
Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa.
Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua

MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji wake nilazma madokta wajifungie ili kuepuka mionzi ila wewe mgonjwa unatoswa kwenye mionzi.

Je kwanini madaktari wasiweke option ya mgonjwa kuchagua kileanachoona hakinamadhara kwake hatakama gharama nikubwa ili kujiepusha namagonjwa mengine ambayo yanaweza kujitokeza miaka ya baadae kama saratani ??
Wapi huko?
 
FB_IMG_1754809758861.jpg
FB_IMG_1754809792069.jpg
 
Sawa, hela ni yako; pili kama hiyo option ipo na ni nzuri, ina manufaa kwako basi unapata.

X-ray inayofanywa hospitalini (standard diagnostic x-ray) ina viwango vya chini sana za mionzi ambazo hakuna madhara kwa mwili.

Saratani inaweza kutokana na kuwa katika mazingira ya kufanya kazi mara kwa mara ya kupima x-ray au kama mtu akifanyiwa x-ray mara elfu moja ndani ya saa 24 (kitu ambacho hakiwezi kutokea kamwe).

Ndiyo maana wafanyakazi wanapima x-ray huvaa nguo maalumu za kuwakinga na mionzi kwa sababu wao huwafanyia wagonjwa wengi sana kwa mwaka hivyo kuwa kwenye hatari ya kufikia na mionzi hiyo mara kwa mara. (Cumulative exposure).

Kwa hiyo kufanyiwa x-ray (standard diagnostic x-ray) ina uwezo mdogo sana wa kusababisha saratani, labda ufanyiwe mara elfu moja ndani ya saa 24. Hatari ya kupata saratani ipo kwa wanaofanya x-ray kwa sababu ya kuwafanyia watu wengi, (exposure ya mara kwa mara) hivyo huhitaji kujikinga kwa kuvaa nguo maalumu.
Nakama hakuna madhara kwanini mama mjamzito hawezi fanyiwa hiko kipimo
 
Ujauzito ni special case,

Hata hivyo bado anaweza kufanyiwa kama kuna uhitaji sana hasa pale ambapo faida inakuwa kubwa kwa uhai wa mama mjamzito kuliko ujauzito wenyewe. Kwa hiyo huweza kufanyika pale inapobidi.
 
baada ya kumpulizia mpunga akabadilishiwa akawekwa kwenye MRI namajibu yalipatikana naukumbuke wakati huo alishaniambia kua hilotatizo haliwez gundulika kwa MRI
Hata mimi ningekudilishia ili nipate huo mpunga, japo najua hakina faida kwako.
 
Kuna Mgonjwa Mmoja Zamani Kidogo aliwahi Kuja Kutibiwa na Mimi Akaanza Kujifanya Mjuaji wa Kujua Sana Vipimo..
Anafika ananiambia..

"Daktari najisikia Kuumwa sana Naomba Nipime vipimo vifuatavyo akavitaja...."

Nikajaribu Kumuelimisha Lakini wapi Kaja Hana Flexibility kaja Fixed sana..sasa Nilichoona Ni kumfundisha Adabu..

Nikaandika Vipimo vyote anavyotaka na Nikaagiza Vifanyike Baadae majibu ya Vipimo vyake Vikaja Negative..

Nikampa Majibu yake Bana Vipimo vyako Vyote ni " Negative"

Akakaa Kwa Muda akaanza Kuniambia Daktari sasa Unahisi Naumwa Nini .....
"Nikamwambia kiukweli Kabisa Hata Mimi Sijui"

Akasema sasa kwanini Hujui Nikamwambia Nitajua Wakati Mimi sio Nilioagiza Vipimo?..
Nikamuuliza Unajua Kwanini daktari anaagiza Vipimo? Daktari anaagiza Vipmo kwa ajili ya Makusudia matano..

Kuconfirm His Diagnosis
Kurole out His Differential
Kuexclude other cause
Kurole out The Complication

Sasa Hapo Mimi sijaagiza Hata kipimo maana Hata DX Yako siijui..

TUjifunze kujua Sio kila kipimo ni Kwa ajili ya Comfirmation
Mkuu nashida na wewe private nakupataje
 
...mawimbi ya redio....
Lakini, inasemekana mawimbi haya pia Yana madhara Makubwa ndiyo maana minara mingi ya simu inayotumia mawimbi haya ni hatari.

Fafanua kama una maelezo ya kutosha juu ya hili.
 
Et cell zinakufa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kudanganyana tuu

Sasa kufa kwa cell kisa x ray ndo kufanye ukatae kipimo..?
 
Sasa CT scan ni x-ray, MRI ni magnetic resonance imagine.. moja ina radiation moja uses magnetism to get image.

Wataalamu wanajua zaidi
 
Back
Top Bottom