CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu wameachika kwa CCM.CUF mbona siku hizi mnalialia sana!
Kwasababu CCM mmewatapeli hao marafiki zenu, waliwaamini kumbe hamfai.CUF mbona siku hizi mnalialia sana!
Kwa Sasa chama Cha upinzani ni kile Cha mbowe tuMlidhani bwana Yule atawazawadia viti vya ubunge sawa na Mbatia na viti vyake ishirini, kumbe hamkujua ni mtu wa namna gani.
Sasa hata ile ruzuku mliokuwa mnapewa na msajili ''kwishey"
Cuf ,fumua uongozi wa juu wote,weka dam changa zinazojitambua, mnaweza Rudi kwenye Ulingo wa kisiasa, ila KWA Sasa wananchi walisha wachukulia poa japo wenda madai yenu kwa Sasa yana mashiko
Hakijaunga mkono mkuu. Soma tena kwa utulivu...Kwa nini mmeunga mkono SUK? Mnatuchanganya.
Si ndio jambo jema kwako mkuu...Ukosefu wa ruzuku utaziyumbisha Chadema na CUF!