kitendo hiki ni cha kiungwana na kinachopaswa kuungwa mkono na mwanaharakati yeyote_mwanaharakati ni yule siku zote anatamani kuona mabadiliko bila kujali wala kutaka kujua yamesababishwa na nani_post hii imekaa muda mrefu bila kuchangiwa, wana jf vp?Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema chama chake kitawasilisha kwa Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, nakala ya rasimu sifuri ya mapendekezo ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Desemba 28 mwaka huu kwa maandamano ya amani yatakayoanzia Buguruni.
Labda wachagiaji wangekuwa wengi kama wangeona ni CDM wanajua wanaopeleka ni CCM-B inawezekana wametumwa kufanya hivyo ndiyo maana hata kibali cha kuandamana wameshapewa.kitendo hiki ni cha kiungwana na kinachopaswa kuungwa mkono na mwanaharakati yeyote_mwanaharakati ni yule siku zote anatamani kuona mabadiliko bila kujali wala kutaka kujua yamesababishwa na nani_post hii imekaa muda mrefu bila kuchangiwa, wana jf vp?
we kalagabaho kaakimya kama hujui kitu sio unakaa unaropoka pumbazako hapa,tunataka katiba mpya wacha kuleta udiniwako hapa.Hawa Ndondocha nao kwanini wasiungane na waislamu wenzao kuandaa katiba yao feki! CCM B at work
<br />Hawa Ndondocha nao kwanini wasiungane na waislamu wenzao kuandaa katiba yao feki! CCM B at work
Kuna yoyote anayefahamu yaliyoko kwenye rasimu ya mapendekezo yao? Kama yupo atujuze kwanza tuelewe vizuri kuhusu mapenedekezo yao.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema chama chake kitawasilisha kwa Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, nakala ya rasimu sifuri ya mapendekezo ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Desemba 28 mwaka huu kwa maandamano ya amani yatakayoanzia Buguruni.
Si lazima CDM kupiga kelele barabarani kila siku ndio watu wajue kwamba wanafanya kazi kubwa kiasi gani kuhusu uwepo wa Katiba mpya nchini mwetu.
Mtu wa Pwani, wewe vuta tu subira utaona kazi inayofanyika pale CHADEMA. Pili, ikumbukwe kwamba CUF, TLP, CHADEMA na vyama vinginevyo vyote ni vyama vyetu sisi wenyewe Wa-Tanzania.
Hatuna sababu ya kutazamana kwa jicho la uchoyo kwani lengo letu ni moja kuboresha maisha ya nchi yetu na mteja wetu sote ni mwananchi wa nchi hii. Kwa msingi huu, mafanikio ya CUF au TLP kamwe hainiumi wala kushindwa kuyatolea pongezi penye ustahili huo.
Lakini kwa kufanya hivyo hakuniondoi CHADEMA hata kidogo. Na hata kuvikosoa vyama hivi haimaanishi kuna chuki isipokua FISADI na WAKUMBATIAJI WAO ni maadui wakubwa wa taifa letu.
Ukomavu kisiasa unahitajika.