Tunamjua ndiyo maana hatumpi nafasi kaingia choo cha kike atakimbia mwenyewe, kama ndiye wamemwona anaweza kutuchanganya JF wamekosea kuchagua hajui hata kujenga hoja anakuja na hoja za kulazimisha, kwanza katiba iko kwenye track hawawezi kuizuia bora wangekuja na vifungu fulani wanavyotaka viwemo kuliko kuzuia ujio wa katiba yenyewe.
Duu! hofu zenu...endeleeni kudai mkipata sawa msipopata sawa tu..
for your information: Katiba vifungu fulani tu vitabadilishwa kukidhi haja lakini katiba mpya baadaye 2015...
Hatuna muda wa kugharamia paper work tukaacha kazi nyeti za kujenga barabara..