Tunamjua ndiyo maana hatumpi nafasi kaingia choo cha kike atakimbia mwenyewe, kama ndiye wamemwona anaweza kutuchanganya JF wamekosea kuchagua hajui hata kujenga hoja anakuja na hoja za kulazimisha, kwanza katiba iko kwenye track hawawezi kuizuia bora wangekuja na vifungu fulani wanavyotaka viwemo kuliko kuzuia ujio wa katiba yenyewe.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema chama chake kitawasilisha kwa Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, nakala ya rasimu sifuri ya mapendekezo ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Desemba 28 mwaka huu kwa maandamano ya amani yatakayoanzia Buguruni.
Mlichelewa wapi kuja, huwezi kuzuia mvua kunyesha bora mtafute pa kujikinga (bora mjiandae kuzuia vifungu fulani fulani kuliko kuzuia ujio wa katiba mpya it is a westage of time and resource).Kila moja wetu anafaidika na katiba iliyopo kwakuwa inatumika sasa kwa wote right?
Katiba ya zamani imetupatia yote, jibu hapana naamini hata mpya haitowezi kutupatia yote right?
Katiba ya zamani ina uoungufu jibu ndiyo..kwanini isiwe na upungufu kwani msahafu huu?
Tufanye...tufanye marekebisho bila gharama kubwa
Sababu: pesa zitumike kwa yale niliyoyataja hapo juu!
Zaidi: naona mnapenda kuiga oh kenya, so what? Kenya ni Kenya Tanzania ni Tanzania..nadhani nimekujibu.
Kelele za mtapataji mara hatuna hela mara hatuna muda mara vifungu tu vitabadilishwa mara....................safari hii mtasema yote huwezi kuziba mvuke kwa kidole.Duu! hofu zenu...endeleeni kudai mkipata sawa msipopata sawa tu..
for your information: Katiba vifungu fulani tu vitabadilishwa kukidhi haja lakini katiba mpya baadaye 2015...
Hatuna muda wa kugharamia paper work tukaacha kazi nyeti za kujenga barabara..
Mlichelewa wapi kuja, huwezi kuzuia mvua kunyesha bora mtafute pa kujikinga (bora mjiandae kuzuia vifungu fulani fulani kuliko kuzuia ujio wa katiba mpya it is a westage of time and resource).
Kelele za mtapataji mara hatuna hela mara hatuna muda mara vifungu tu vitabadilishwa mara....................safari hii mtasema yote huwezi kuziba mvuke kwa kidole.
Which mandate ya NEC, 60% of who casted their votes (8,000,000) equivalent to 12% of 40mil. Tanzanians where is the mandate. Zaidi ya asilimia 80 ya watanzania mnaiweka upande gani.We have all mandate from wananchi (62%) tunaweza kufanya au tunaweza tusifanye mpaka 2015 bila hata kuulizwa, kulazimishwa, na taasisi yoyote,
Which mandate ya NEC, 60% of who casted their votes (8,000,000) equivalent to 12% of 40mil. Tanzanians where is the mandate. Zaidi ya asilimia 80 ya watanzania mnaiweka upande gani.
Kumbe unataka ligi tu ngoja niende nawe ki MS maana sioni unachoongea.Asimilia 80% ni wale wasio na upande wowote bendera fuata upepo..angekuwepo Slaa sawa, Lipumba Sawa, JK sawa
Na wanamkubali Rais wa wananchi wa Tanzania JK, siyo Rais wa wana Chadema Slaa (except Zitto et.al)
Mkuu,Kila moja wetu anafaidika na katiba iliyopo kwakuwa inatumika sasa kwa wote right?
Katiba ya zamani imetupatia yote, jibu hapana naamini hata mpya haitowezi kutupatia yote right?
Katiba ya zamani ina uoungufu jibu ndiyo..kwanini isiwe na upungufu kwani msahafu huu?
Tufanye...tufanye marekebisho bila gharama kubwa
Sababu: pesa zitumike kwa yale niliyoyataja hapo juu!
Zaidi: naona mnapenda kuiga oh kenya, so what? Kenya ni Kenya Tanzania ni Tanzania..nadhani nimekujibu.
Wanamlipa Rostam Bil.185 wanashindwa kugharamia katiba akili matope, na Rostam (mbunge wa tanzania) akikubali kupokea hizo pesa ili awafilisi watanzania nitamwona mbunge feki hopeless maradufu hana mapenzi na Tanzania.Mkuu,
Pesa si sababu kabisa katika hili. Hebu tupe makisio ya fedha zinazohitajika kuandaa katiba mpya. Na break down yake
,
Ikiwa serikali inauwezo wa kununua magari mepya kila leo, kuilipa dowans, kutoa misaaha ya kodi kiholela,kulipa mishahara,posho na viinua mgongo vikubwa kwa wabunge, fedha ya EPA. Kukubali asilimia 3 kwenye madini.
Hela haiwezi kuwa kisingizio hata kidogo.
Hata hivyo,ikiwa ni kweli serikani haina,wananchi wako tayari kuchangia katika hili.
Ukweli utabaki ni kuwa serikali, na hapa unazungumzia CCM hawaoni tija,haja ya katiba mpya kwa sababu hii iliyopo inawanufaisha wao kubaki madarakani.
Nimekuomba iniorodheshee faida na mapungufu ya hii katiba inayotumika sasa.
Na hapo nilipopigia msitari unamaanisha nini?
Jee unaelewa kuwa madai,kilio cha katiba mpya kina zaidi ya miaka 15 sasa?
sheria mama ndio..naona kama kibwagizo ambacho wajinga fulani wameombwa kuimba nao wakaanza kuimba...
Katiba haina tija Tanzania, iliyopo tu ikifuatwa vizuri inatosha kuleta tija..issue ni kwamba haifuatwi na hakuna anayeweza kuhoji.
Wait a minute!
Katiba mpya italeta umeme vijijini na mjini
Katiba mpya italeta barabara mjini na vijijini
Katiba italeta bei za mazao ya wakulima vijijini
au ni:-
Mgawanyiko wa madaraka na jinsi ya kuchagua PM, Waziri, yaani siasa kula/kura
Jengeni hayo mambo kwanza kabla ya kimbelembele ya kufuata mkumbo kwa jambo lisilo na tija
Umenifurahisha sana kwenye bold kuwa watawala wamejifunza ustaarabu wa CUF wa JINO KWA JINO au NGUNGULI na NGANGARI.Niliwahi kusema katika thread mojawapo kuwa "UKIFIKA MAHALA UNASUSIA MAMBO MUHIMU YANAYOGUSA MUSTAKABALI WA NCHI HATA YALE YASIO NA UHUSIANO NA SIASA KAMA SHEREHE ZA UHURU BASI UNAKARIBISHA JAMII NA HASA VYOMBO VYA UTAWALA KUWA NA NEGATIVE ATTITUDE AGAINST YOU". HIVYO CHADEMA WASITARAJIE MTEREMKO KATIKA MAMBO YAO. KUNA CHUKI WALIYOITENGENEZA NA MATUNDA YAKE NDIO HAYO. PIA HUWEZI KWENDA KINYUME NA TARATIBU NA SHERIA ZILIZOWEKWA HALAFU UKASUBIRI PUBLIC SYMPATHY. SOMETIMES IF YOU CAN'T FIGHT 'EM THEN JOIN 'EM.
CUF WANAFUATA TARATIBU NA SHERIA LAKINI PIA WAMEPATA KIBALI KWA WATAWALA KWANI WATAWALA WAMEJIFUNZA SIASA ZA KIISTAARABU KUTOKA CUF. HISTORIA IKO WAZI. HATA MBIU YA CUF YA HAKIIIIIIIIIIIIIIIIII. ASIYETAKA HAKIII??????????/ AELIMISHWE. HII NI KAULI MBIU YA KIISTAARABU ZAIDI KULIKO ILI YA PEOPLES??????????????? POWER!!!!!!!!!! AMBAYO IMEKAA KISHARISHARI.
BINAFSI NAAMINI KATIKA SIASA ZIPO MBINU NYINGI ZA KUFIKIA MALENGO LAKINI PIA TUNAHITAJI VIONGOZI WENYE UONI MPANA KATIKA KUYAENDEA MAMBO.
CUF WALIANZISHA MJADALA WA KATIBA MPYA NA WAKAANDAA RASIMU YA KATIBA HIYO. SIJAONA CHAMA KINGINE KILICHOANDAA RASIMU HIYO ZAIDI YA KELELE ZA MTAANI ZISIZOKUWA NA NATIJA KUBWA.
TUUNGANE KATIKA MAMBO YA MSINGI NA TUWE WASHIRIKI NA SIO WASHABIKI.
Uhuru wa kufanya lolote tunao, na pia uhuru wa kusema lolote tunao...tumeshika mpini...au bado hufahamu.
Kumbe unataka ligi tu ngoja niende nawe ki MS maana sioni unachoongea.