Hujanielewa kwangu wote hao ni wetu tu lakini huwezi kulinganisha na mwizi m Iran RA kwa hilo sijifichi hata uniite mbaguzi sawa wewe nenda kagombee ubunge Iran au India kama hautatemewa mate usoni.Kwa hiyo EL alivyopakua sawa tu siyo, Liyumba sawa na hata bilal sawa tu...kazi kwelikweli
Ndio maana mapambano yenu cdm yenye malengo ya kibaguzi hayatafika mbali..ni illusion tu.
Back to topic faida za katiba mpya vs katiba iliyopo...
Topical.....aka martyrdom .... bora urudi kule kule Kandahar... ukamsaidie Dr. Al Zawahiri kuhubiri hate and brutality..... ur very blatant and militant
Hujui unaloongea which is peacefull movement and which is not, unaelewa nini kuhusu maandamano mbona wewe ulisema utaandamana kudai maji, which is which then or talk for the sake of talking.Haisaidii kusema yasiyoni husu..
I stand for peacefull movement, siyo maandamano as if nchi hii hakuna viongozi.
Hujanielewa kwangu wote hao ni wetu tu lakini huwezi kulinganisha na mwizi m Iran RA kwa hilo sijifichi hata uniite mbaguzi sawa wewe nenda kagombee ubunge Iran au India kama hautatemewa mate usoni.
Haisaidii kusema yasiyoni husu..
I stand for peacefull movement, siyo maandamano as if nchi hii hakuna viongozi.
Hujui unaloongea which is peacefull movement and which is not, unaelewa nini kuhusu maandamano mbona wewe ulisema utaandamana kudai maji, which is which then or talk for the sake of talking.
Hata Shivji akiwa mwizi hatufai, wavamizi wezi wanajulikana huwezi kumlinganisha Shivji na Rostam kila baya yeye yumo nyambaf zake na wanaomsupport kwa hilo huwa sichengichengi.Sawa kama wewe ni mbaguzi umechagua kujiumiza, watanzania wengi tuko beyond hapo..na kwa taarifa hizo element za ubaguzi tutazifuta kwa vitendo..next waziri wa fedha atakuwa mtanzania mwenye asili ya india...mfano shivji hivi
Mtanzania ni mtanzania period, uzalendo ni kufanya kila mtu ajiamini asitoe upendeleo na uwizi kama waliofanya kina Ngeleja na Mhando hapo tanesco period!
Kwa hiyo unapinga tu for the sake ya kupinga uonekane umepinga au uongeze post.Kama yatakuwa yamefuata utaratibu wote wa kisheria...ndio ntaandamana, kama hakuna nilisema sitii mguu.
Mwizi ni mwizi hata kama ni mdogo wako ..hapo tuko pamojaHata Shivji akiwa mwizi hatufai, wavamizi wezi wanajulikana huwezi kumlinganisha Shivji na Rostam kila baya yeye yumo nyambaf zake na wanaomsupport kwa hilo huwa sichengichengi.
Kwa hiyo unapinga tu for the sake ya kupinga uonekane umepinga au uongeze post.
We are not out of the topic ndiyo haya haya tunayozungumza hapa ya watu kujichukulia uraia bila kufuata sheria yamo kwenye katiba mbovu,watu kuwa na mikataba mibovu yamo kwenye katiba mbovu.Mwizi ni mwizi hata kama ni mdogo wako ..hapo tuko pamoja
RA ni mwizi hafai hata kidogo..mpe haki yake ya ku-prove kwamba kaiba au kapewa dili la kazi
Mwizi no.1 ni wafanyakazi wa tanesco akiwemo waziri ni mtazamo wangu tu
Any turudi kwenye topic ya katiba...we already out of topic.
Nonsense kwa vile tatizo lako ni maji wengine wakiwa na tatizo la umeme au katiba wasiandamane.Sijakusoma una maana gani?
Mbona niko clear kero kubwa kwangu ni maji umeme cha mtoto
nitaandamana ikiwa taratibu zote zikifuatwa siyo bila kibali..sitii mguu
We are not out of the topic ndiyo haya haya tunayozungumza hapa ya watu kujichukulia uraia bila kufuata sheria yamo kwenye katiba mbovu,watu kuwa na mikataba mibovu yamo kwenye katiba mbovu.
Nimeanza kugundua uwezo wako wa kufikiri.
Tatizo lako na wengi mnafikiri katiba ni maandiko ya vitu special sana ambavyo hatuvijui au havituzunguki ndio maana hamuoni tatizo la kuwa na katiba mpya.
We are not out of the topic ndiyo haya haya tunayozungumza hapa ya watu kujichukulia uraia bila kufuata sheria yamo kwenye katiba mbovu,watu kuwa na mikataba mibovu yamo kwenye katiba mbovu.
Nimeanza kugundua uwezo wako wa kufikiri.
Tatizo lako na wengi mnafikiri katiba ni maandiko ya vitu special sana ambavyo hatuvijui au havituzunguki ndio maana hamuoni tatizo la kuwa na katiba mpya.
Kama hujui kuhusisha katiba-sheria-mikataba sina msaada zaidi.Ndugu vitu ulivyovitaja viko kwenye sheria wala si sheria mbovu sheria safi tu
Katiba ndio itumike kuandikia mikataba..no
Mikataba ya kibiashara ni case by case, kati ya mwenye mali na mnunuzi
Kama hujui ku-negotiate vizuri hata kuwe na katiba mpya kesho
Keshokutwa tunaibiwa na watu wetu period..sisi ndio tatizo sio wanunuzi.
Kama hujui kuhusisha katiba-sheria-mikataba sina msaada zaidi.
Mkuu najua sana lengo lake ndiyo maana mimi nimemkomalia hawezi pata kitu atachoka mwenyewe Quinine is here to stay day and night na majibu nimeset automatic special kwake akija MS nina set yake.mkuu.... hii ngoma ni extremist and fundamentalist...... potezea hivyo hivyo.... inataka kutu brain wash kama wanaojitoa muhamga.... hajui watanzania ni makini tena usipime hapa JF hakuna type yake....
Kwani wewe wamekuambia uje na fasheni gani ya kupinga katiba mpya, utaweza? if you can't fight join 'em, simple is what Mkapa, Jaji Mkuu, and other prominet CCM members has decided to follow.Sawa kama huna msaada maana hujui...
Kwa hiyo unafuata fashion tu kudai katiba mpya.
Kwani wewe wamekuambia uje na fasheni gani ya kupinga katiba mpya, utaweza? if you can't fight join 'em, simple is what Mkapa, Jaji Mkuu, and other prominet CCM members has decided to follow.
Mkuu najua sana lengo lake ndiyo maana mimi nimemkomalia hawezi pata kitu atachoka mwenyewe Quinine is here to stay day and night na majibu nimeset automatic special kwake akija MS nina set yake.