Elections 2015 CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima! Vinginevyo, huo ndio mwisho wake

Mkuu , kwanza asante kuchangia uzi wako huu, na maswali yako ni ya msingi sana!. Tangu kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar, nimeishaandika sana, naomba pitia uzi huu na maswali ya mtu huyu, kisha linganisha na maswali yako, ukikuta bado kuna mengine hayajajibiwa, ndipo uniulize tena!.
[URL='https://www.jamiiforums.com/threads/zanzibar-issue-kwanini-watu-wanapiga-kelele-tu-bila-kuchukua-hatua-zozote.974722/']Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua
Zanzibar! Jee Kubakwa na Kutulia Sio Kuridhia?!,[/URL]

Wanabodi,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
 
Nami naunga mkono hoja, uchaguzi ukirudiwa usitegemee cuf kushinda
 
Mimi hichi ndicho ninachoona kitatokezea. CUF hawatoshiriki uchaguzi wa marejeo. Watasubiri mpaka mchakato wa uchaguzi ufike mwisho, wataenda mahakama kuu kuhalalisha matokeo ya udiwani na uwakilishi wa uchaguzi wa 25/10/2015.

Kisheria si Jecha walaTume yote kwa ujumla wanao uwezo wa kubatilisha matokeo yaliyokamilika hasa tunazungumzia ya udiwani na uwakilishi wakati washindi wameshapatiwa mpaka vyeti vya ushindi. Kinachotokea sasa hivi ni utashi wa kisiasa ambao unatigharimu big time!

As far as uraisi is concerned, hiyo tuiweke chanis kwa wakati huu lakini kwa udiwani na uwakilishi hata kama atwekwa Jecha mwenyewe kuwa judge katika kesi hii basi atabanwa kisheria na kutowa hukumu in favour of CUF.

Sorry CUF sikuwa na maana ya kutowa siri ya mkakati wenu. It's obvious outcome kwa mtu alozaliwa na kichwa chenye nywele!
 
Nami naunga mkono hoja, uchaguzi ukirudiwa usitegemee cuf kushinda
aaaaaaaaaaahhh hiyo never happen mkuuuu,..
bora kma kukomaa wasishiriki2,..
au wakikubali kushiriki bas cuf iwe tayar kulinda jicho kwa jicho,..
na ulinz wao uwe mkubwa kuliko ccm,..
hapo@list
 
aaaaaaaaaaahhh hiyo never happen mkuuuu,..
bora kma kukomaa wasishiriki2,..
au wakikubali kushiriki bas cuf iwe tayar kulinda jicho kwa jicho,..
na ulinz wao uwe mkubwa kuliko ccm,..
hapo@list
Mkuu hadi mda huu ccm wameshajihakikishia ushindi. Wakati mazungumzo yanaendelea wao walisha anza mikakAti ya ushindi wa mezani. Ccm ni nundu na sio jipu tena
 
Mkuu hadi mda huu ccm wameshajihakikishia ushindi. Wakati mazungumzo yanaendelea wao walisha anza mikakAti ya ushindi wa mezani. Ccm ni nundu na sio jipu tena
alaf wanajifanya watumbua majipu,..
wakati wao wenyewe majipu,..
always i hate fisiem
 
ikipendaroho
CUF wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa marudio ndipo waende mahakamani itakuwa too late kwa sababu uchagfuzi wa rais haupingwi mahakamani!.

Kama ni kwenda mahakamani walipaswa kuupinga uamuzi ule wa Jecha, ila pia mahakama imeweka sheria ya limitation kwenye mambo yote ya uchaguzi, ni kufungua shauri ndani ya siku 90!. Zimeishapita. Hata hivyo sasa bado wanayonafasi ya kuupinga huu uchaguzi but on what ground?!.

Pasco
 
Kufanya maamuzi kwa ubabe, tena kuonesha kiburi ukidhani tu kwa kuwa askari wapo sio jambo la kushabikia karne hii, hawa jamaa wa zanzibar me huwa nawagopa sana walianza kupiga watu risasi, na kuwamwagia acid, nyie endeeleni kushabikia huo ujinga iko cku mtasikia meli au pantoni imelipuka kuna mtu amejitoa muhanga ndo mtawajua hawa jamaa vizuri, mnawatia watu gadhabu wakati hamko makin, haya sio mashindano kwamba mnawakomoa,tatizo sis watanzania hatuna akili kabisa.
 
Usiwasemee Wazanzibari. Wapo tayari kwa uchaguzi na kuichagua kwa nguvu CCM
This is where the Burrell of a gun remain the only true option.

Damu haikwepeki Zanzibar.
Kuikwepa ni kukwepa jukumu la kibinadamu, jukumu la kiraia na kidemokrasia

Ni busara tu Kwa Wazanzibar kujua kama mahasimu wao kisiasa wamejiandaa kwa haya hivyo wasiende kwenye uwanja wa mapambano kama mbuzi wa sadaka maana ni kweli watatolewa kafara.

Upinzani Tanzania tuwe nyuma ya CUF. Tusiposhinda pambano dogo la Zanzibar hatutaweza kushinda pambano la bara.

Huu ni wakati hasa wa kutafakari kama tunaipenda demokrasia.
Maana kama tunaipenda basi tuwe tayari kulipa gharama yake.
Hapa duniani hamna msamiati kama 'kitu cha bure'.

Ni Maalim na Zanzibar au tukose wote!
 
Kaka Pasco,

Kuhusu uchaguzi wa raisi CUF watategemea pressure ya ndani na ya nje. Thats their only hope. Kwa sababu ya uwezo alopewa Jecha kisheria japokuwa uamuzi wake uko open to argument.

Kuhusu uchaguzi wa diwani na uwakilishi CUF hawana haja ya kwenda mahakamani kwa sasa kwa sababu in reality waliochaguliwa ndio wateuzi halali na mpaka hati wanazo. Wa kuenda mahakamani ni Tume kupinga huo uteuzi wao. Watakwenda mahakamani baada ya uteuzi wa wagombea wapya na kuomba kutambuliwa wao kama ni wateuzi halali. Siku zitaanza kuhesabiwa baada ya kutangazwa wateuzi wapya. Kama tume ni kufata sheria ya siku 90 hata wao wamevunja sheria kwa mara nyengine tena kwa sababu uchaguzi haujafanyika ndani ya siku 90 kama walivyosema wao wenyewe kwamba sheria inawataka wafanye. Kwa hiyo mpaka uchaguzi wa marejeo ufanyike ndio CUF waweze kupinga uhalali wa wateuzi wapya. Hapo sasa ndipo tutakapoona Coca Cola na Popcorns ziko kwenye short supply mitaani. Nakushauri yweke stock yako ya mahindi ya kutosha, mimi napenda zaidi za mtama
 
Pasco bana! Uliyoandika ni kama unasahau historia ya Zanzibar! Karume alipambana sana na CUF chini ya. Mbabe Mkapa wakarudi hata uchaguzi wa Pemba baada ya wawakilishi kufukuzwa lakini wapemba wakawarudisha wawakilishi wale wale! It is not easy kama ulivyoandika! Na huyo JPM unayemsifia sijui namba ingine sijui hapa kazi, naona anabore vibaya! Japo kikatiba issue ya election ya Zenji sio issue ya Muungano but anapaswa kuonyesha leadership kuhusu uhuni uliofanywa Zanzibar! We cannot continue kukubali uhuni wa watu wanaopenda madaraka uendelee Tanzania halafu tunaonyesha ubabe wa kuwanyooshea wenezetu vidole kama Burundi?! Hiyo jeuri inatoka wapi
 
Huu uchaguzi hata urudiwe mara mia kama haujakubalika kimataifa basi huyo rais Shein atakuwa rais ndani ya Tanzania.

Akija ulaya na America ni raia w kawaida kwa sababu hawamtambui na hawatamtambua, mataifa yashaweka wazi matokeo yatangazwe, vipi leo murudie uchaguzi?
Suala la uchaguzi ni suala la kimataifa na sio kitaifa.

Hamjawahi kuona vita mara hii vipo zanzibar, kwa uchaguzi huu ambao ccm imedhamiria bao la mkono
 
Haki ya mpigakura ni inafanana na haki ya mtu anaetakiwa kutii na kutekeleza hukumu kwa muhalifu, kwahiyo wakigoma wote wataenda kukaguliwa kwenye vidole, asiepiga kura anakamatwa, na jambo kama hilo sio lahisi kutokea kwa zama hizi sanasana watawapa nafasi ya kujipigia kura wenyewe ccm washinde kilahisi, mm naona wanachitakiwa kufanya timu ya wana CUF wote waungane wawashawishi watu wao wakapige kura na wahakikishe wanazilinda kwa nguvu zote,
 
Kwani ushawahi msikia ameenda nje zaidi ya kibandamauti? Au kisiwandui? Ndio maana hilo sio shida kwao yaani jinsi gani jumuia ya kimataifa inachukukia hili swala maana inapokuja uhusiano na jumuia za kimataifa wanakuwa chini ya JMT
 
Toka hapa hatuna mpinzani mnafiki kama pasco,ambaye anajifanya mwanamabadiliko wakati mi mnafiki mkubwa!!!!
 
huu ni mtizamo wako na sidhani kama uko sahihi,labda km unazungumzia siasa za kabla ya 1992 za kuweka picha mtu awepo asiwepo anachaguliwa hata kwa kuweka jiwe,but sio democratic elections,CUF ni zaid ya chama,yaani by that time tungeiita chama cha PAN Africanism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…