Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

Hapa anaweza kuwafukuza halafu na yeye akaondoka huku akisema, nafsi imenisuta
 
UZEMBE WAKE WAKE WA KUCHELEWA KUMCHUKULIA HATUA LIPUMBA SASA AKUBALI KUJIUNGA NA CHADEMA TU
 
Mnafikiri hizi options CCM hawazijui? Kila moja tayari ina mkakati wake ...dawa ni moja waungane kinafiki na Lipumba then watumie nguvu ya ushawishi wao ndani kuendeleza ajenda zao ....hii ndio options ambayo naamini CCM hawataki itokee na wanaamini kwa hulka za Maalim haitotokea ....CUF inatakiwa busara tu ....tatizo wanachochewa na Chadema kwa faida ya Chadema kuongeza nguvu Zanzibar ....ila hiyo nguvu haitokuwepo ....
 
mbona hata alipoamua kakaa pembeni aliitwa msaliti acha afanye yake
 
Hiv kitendo alichofanya lipumba 2015 cha kukaa pembeni hamkioni kama alifanya kitendo cha kidemokrasia angekuwa mbowe asingeweza
lipumba alikaa pembeni kwa sababu hakutaka kuwa mmoja wa wanafiki

lowasa alikuwa ni picha ya ufisadi ambayo wapinzani walikuwa wanawaonyesha wananchi
sasa ilipotokea amekuwa mgombea wa urais kupitia umoja wa ukawa hapo lipumba pamoja dr slaa walipoona ugumu wa kumnadi mtu ambaye walishamwitaa fisadi papa
 
True upinzani ni watu siyo chama hapo ndipo wanapo kosea wapuuzii wengi wanadhani ni chama
 
Uprofesa hauna maana kwa ajili ya mtu huyu..!
 
Sio kweli, baada ya kujiunga na Ukawa ndo wakapata walau viti vingi bara. Hivyo usipotoshe ukweli.
 
Mbinu waliyotumia ccm ni pigo kwao. UPINZANI sio CUF kama chama Bali ni watu. Na watu hao wanaweza kuamua kuwa chama chochote, na wakiamua kuwa Chadema ccm ndio watajuta!
Kwa nn asianzishe chama kipya ila akiite "CUF Asilia"walau neno CUF liendelee kumtambulisha maana si rahisi kumtenganisha nalo kihistoria...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakupatia salute aisee. Umeona mbali sana kuliko nilivyokuwa nadhania. Hongera sana
 
Ni kweli kabisa, kwa kauli ya tume ya uchaguzi ambayo badala ya kuangalia namna gani ya kulinda kodi ya wananchi kutumika vibaya, wao ndo kwanza wamekuwa msitari wa mbele kuchochea na kubariki maovu yanayoendelea ndani ya chama cha CUF, hii inadhihirisha ya kwamba tume yetu ya uchaguzi haijawahi kuwa huru toka ianzishwe miaka yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge hao watahamia chadema na watachaguliwa tena kupitia chadema
Hiki ndicho kinachotakiwa Maalim ndio katumika bila kujijua au kwa makusudi Lipumba kamuita Mara ngapi yeye akawa anashikiwa Akili na watu wenye Akili ndogo.Asilalamike CUF wameshaizika rasmi.Chadema juuuuuuu juuuuuuu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuunganisha Maalim Chadema litakuwa kosa kubwa kuliko yote la kimkakati alilofanya Sizonje.
WE WILL BE A LEGION AND NOTHING CAN STOP US!

You never want your enemy to be united against you , Sizonje makes us more than united, he makes us strong.
True
 
Hawa uliosema walaumiwe hawastaili lawama kumbuka Lipumba alujiuzulu uongozi akarudi kwa ajili ya harakati anazozifanya sasa tayari wewe umeshakiri yakuwa Lipumba anajulikana na kila tasisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mku ni kweli kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…