CUF: Miradi na upembuzi wake iwekwe wazi

CUF: Miradi na upembuzi wake iwekwe wazi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Chama cha CUF kimesema Serikali inatakiwa kuweka wazi upembuzi yakinifu ya miradi inayotekelezwa ikiwemo ya SGR, ufuaji wa umeme na uimarishwaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).

Mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba amesema "Tunaelekezwa hii miradi ni mizuri lakini hadi leo Serikali haijaweka hadharani upembukizi yakinifu tukaona ubora ulivyo".

Ameongeza, "Miradi ya kujenga reli, kufua umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na miradi ya kununua ndege iwekwe wazi, tujue na tuweze kuichambua nini faida yake".
 
Back
Top Bottom