Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Sasa miCCM si ndio mfurahi..maana itakuwa CCM A vs CCM B,..Chukueni viti vyote vya Urais, Ubunge na hata Udiwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Ili uwe uchaguzi huru wa haki unatakiwa uwe na mambo gani? Au unafikir kwamba ukitumbukiza kura tu umemaliz. Ccm wanaiba kura na kuingia nazo kwenye vituo uchaguzi 2020 urejee halafu unataka watu wake kimya kisa chawa watapiga mayowe?
Ile vibrant opposition uliyokuwa una hubiri ni ya kina NDIYO MZEE?
2019, 2020, 2024 Kote kura ziliibiwa ushahidi upo
acha upotoshaji gentleman,Kila mmoja anakiri taratibu za uchaguzi zinachangamoto katika katiba, sheria na kanuni na mchakato mzima.
Wanachopingana ni lini marekebisho yafanyike, CCM wakisema muda hautoshi na CDM wakisema ni Bora uchaguzi usogezwe mbele kwa kuwa hautakua huru na haki.
Ushauri ni kuzungumza na kuona kama ni uhakika uchaguzi unakua sio huru haina haja ya kuwa nao na kufanya marekebisho kama uchaguzi ni huru na haki basi ufanyike.
nadhani ungelikua smart ungeshajua kwamba tayari vyama vya siasa vya upinzani vimeshaapa kutoungana na vibaka na matapeli wa kisiasa tena,CHADEMA haijasema mchakato huu ni mwisho leo, ni kizazi na kizazi! Mpaka jambo hili litimie
Ili kuharakisha hili vyama vya upinzani viunge jitihada za CHADEMA
punguza makasiriko gentleman?Sio kuikabili maana hakuna ushindani wa kisiasa bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, sema wako tayari kuwabariki ccm kukaa madarakani kwa shuruti.
Gentleman,kumbe unajua hawatopata chochote sasa wanashiriki ili iweje?🤣🤣
Nakuomba uwashauri wasipoteze muda wao kwa jambo unalolijua watafeli tu
uchaguzi mkuu hufanyika kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi gentleman,Sasa miCCM si ndio mfurahi..maana itakuwa CCM A vs CCM B,..Chukueni viti vyote vya Urais, Ubunge na hata Udiwani
Uchaguzi ama ukhanithi?punguza makasiriko gentleman?
chama chako kinashiriki au hakishiriki uchaguzi mkuu wa Oct 2025?
labda kwanza tuanzie hapo ili kujua chanzo cha chuki na mihemko yako dhidi ya wanashiriki uchaguzi huo 🐒
🌈 Wenzako ndio mtashiriki.Relax bas gentleman,
kumbe hata hujielewi tena ilkiwa utashiriki ama la uchaguzi huo mkuu wa kihistoria Tanzania 🐒
halafu ile sera ya chama chenu kuwakusanya vijana wa kiume kwenye chama chenu ambao wako tayari kuolewa ng'ambo ili wapitiwe ajira huko huko ng'ambo bado ipo?🌈 Wenzako ndio mtashiriki.
Hapana maana ww na 🌈 wenzio mliwanea wivu hadi mkawaharibia.halafu ile sera ya chama chenu kuwakusanya vijana wa kiume kwenye chama chenu ambao wako tayari kuolewa ng'ambo ili wapitiwe ajira huko huko ng'ambo bado ipo?
kwahiyo gentleman utakua sio riziki soon?🐒