Pre GE2025 CUF, NCCR Mageuzi na ACT Wazalendo ndio vyama vya upinzani vilivyo tayari kuikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu

Pre GE2025 CUF, NCCR Mageuzi na ACT Wazalendo ndio vyama vya upinzani vilivyo tayari kuikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa miCCM si ndio mfurahi..maana itakuwa CCM A vs CCM B,..Chukueni viti vyote vya Urais, Ubunge na hata Udiwani
 
Ili uwe uchaguzi huru wa haki unatakiwa uwe na mambo gani? Au unafikir kwamba ukitumbukiza kura tu umemaliz. Ccm wanaiba kura na kuingia nazo kwenye vituo uchaguzi 2020 urejee halafu unataka watu wake kimya kisa chawa watapiga mayowe?
Ile vibrant opposition uliyokuwa una hubiri ni ya kina NDIYO MZEE?
2019, 2020, 2024 Kote kura ziliibiwa ushahidi upo
Gentleman,
Uchaguzi mkuu huru, wa wazi na wa haki utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi October mwaka huu 2025.

mambo mengine muyafanye ndani ya vyama vyenu huko 🐒
 
Kila mmoja anakiri taratibu za uchaguzi zinachangamoto katika katiba, sheria na kanuni na mchakato mzima.
Wanachopingana ni lini marekebisho yafanyike, CCM wakisema muda hautoshi na CDM wakisema ni Bora uchaguzi usogezwe mbele kwa kuwa hautakua huru na haki.
Ushauri ni kuzungumza na kuona kama ni uhakika uchaguzi unakua sio huru haina haja ya kuwa nao na kufanya marekebisho kama uchaguzi ni huru na haki basi ufanyike.
acha upotoshaji gentleman,
unae ona kuna changamoto ni wewe pekee ambae huenda hufahamu kwamba sheria na muundo wa Tume huru ya uchaguzi yalishafanyika kabla ya mwaka uliopita.

So,
ni vema ukafahamu hilo kwamba marekebisho yalishafanyika na maandalizi ya uchaguzi yanakwenda vizuri na uchaguzi utafanyika mapema Oct 2025, kwa salama na amani na bila mbambamba yoyote 🐒
 
CHADEMA haijasema mchakato huu ni mwisho leo, ni kizazi na kizazi! Mpaka jambo hili litimie

Ili kuharakisha hili vyama vya upinzani viunge jitihada za CHADEMA
nadhani ungelikua smart ungeshajua kwamba tayari vyama vya siasa vya upinzani vimeshaapa kutoungana na vibaka na matapeli wa kisiasa tena,

usaliti wa kwenye UKAWA unatosha 🐒
 
Sio kuikabili maana hakuna ushindani wa kisiasa bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, sema wako tayari kuwabariki ccm kukaa madarakani kwa shuruti.
punguza makasiriko gentleman?

chama chako kinashiriki au hakishiriki uchaguzi mkuu wa Oct 2025?

labda kwanza tuanzie hapo ili kujua chanzo cha chuki na mihemko yako dhidi ya wanashiriki uchaguzi huo 🐒
 
kumbe unajua hawatopata chochote sasa wanashiriki ili iweje?🤣🤣
Nakuomba uwashauri wasipoteze muda wao kwa jambo unalolijua watafeli tu
Gentleman,
si ni kama wanaodai watazuia uchaguzi usifanyike na hali ya kua uchaguzi huo utafanyika kwa salama na amani, kwa uhuru, usawa na haki.

sasa gentleman,
hapo watakua wamezuia nini kwa mfano?🐒
 
Sasa miCCM si ndio mfurahi..maana itakuwa CCM A vs CCM B,..Chukueni viti vyote vya Urais, Ubunge na hata Udiwani
uchaguzi mkuu hufanyika kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi gentleman,
sio kwaajili ya kumkenulia, kumchekea au kumfurahisha mtu 🐒
 
punguza makasiriko gentleman?

chama chako kinashiriki au hakishiriki uchaguzi mkuu wa Oct 2025?

labda kwanza tuanzie hapo ili kujua chanzo cha chuki na mihemko yako dhidi ya wanashiriki uchaguzi huo 🐒
Uchaguzi ama ukhanithi?
 
🌈 Wenzako ndio mtashiriki.
halafu ile sera ya chama chenu kuwakusanya vijana wa kiume kwenye chama chenu ambao wako tayari kuolewa ng'ambo ili wapitiwe ajira huko huko ng'ambo bado ipo?

kwahiyo gentleman utakua sio riziki soon?🐒
 
Hapana maana ww na 🌈 wenzio mliwanea wivu hadi mkawaharibia.
 
Back
Top Bottom