Pre GE2025 CUF: Subira itumike, maandamano yasitishwe hadi Bunge lipitishe miswada ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MAANDAMANO TAREHE 24 JANUARY 2024 LAZIMA, SI HISANI WALA FADHILA BALI NI HAKI YETU KWA MUJIBU WA KATIBA ILIYOPO YA NCHI

1705594451106.png

2024
 
18 January 2024

ACT WAZALENDO NAO WAOMBA WAPIGA MAGOTI, CHONDE CHONDE WATANZANIA TUVUTE SUBIRA, BUNGE LIPEWE NAFASI

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Dodoma Bw. Yohana Musa

View: https://m.youtube.com/watch?v=Fr3NDh0lPCo

Bw. Yohana Musa anasema bunge letu lina nafasi mbili kujadilli maon,i hivyo bunge la CCM linahitaji kupewa fursa kufanya ....

Bw. Yohana Musa awaomba watanzania kumpa nafasi Rais Samia Hassan aliyekuwa muungwana kuitisha maoni ya wadau kupitia majukwaa mbalimbali, anakazia kiongozi huyo wa ACT Wazalendo kuwa hisani hiyo na fadhila hizo zituongoze kuacha kwanza maandamano .....
 
CHAMA CHA AFP CHAKUMBWA NA JINAMIZI LA WOGA WA UDIKTETA WA CHAMA DOLA CCM KURUDI , HAITAKI KUKOSA FADHILA NA HISANI ZA RAIS SAMIA HASSAN
Mwenyekiti wa chama cha Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) Tanzania Mh. Rashid Ligania Rai atoa tamko zito ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=6CO7ReWGJNA
Mwenyekiti mheshimiwa kiongozi Rashid Ligania Rai amekishutumu chama kikuu cha upinzani Tanzania kuwa kilishindwa kuandamana kwa miaka sita iliyopita, hivyo vyama vidogo sasa ni wakati wao kushawishi watanzania bila maandamano.

Maana marufuku haramu ya kufanya shughuli za kisiasa iliyowekwa na utawala wa Magufuli tangu 2016 ikafifisha vyama vyao kisiasa .inaweza kurudishwa tena 2024 na utawala wa Rais Samia Hassan.... hilo hawalitaki maana nao wanataka kukua kisiasa kupitia hisani na fadhila iliyopo sasa chini ya awamu ya sita kuruhusu shughuli za kisiasa ....

Rai namfahamu ni mpuuzi fulani hivi asiejua kujenga hoja akipewa pipi analegea kabisa ndiyo maana ana mijino imechongoka kama ngiri
 
18 JANUARY 2024

CUF YASEMA SUBIRA ITUMIKE, MAANDAMANO YASITISHWE HADI BUNGE LIPITISHE MISWADA YA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA TUME YA UCHAGUZI

Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA 24 January 2024.

Katibu mkuu wa CUF alipobanwa zaidi kuwa kiuhalisia bunge ni la chama kimoja dola kongwe yaani CCM, je chama cha CUF wanauhakika gani CCM yenye wabunge wengi ktk bunge na kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba wanaweza kusikiliza maoni ya wasio wanaCCM na wadau.

Katibu mkuu wa CUF Bw. Hamad Masoud Hamad alipobanwa kuwa anatarajia kitu tofauti kutoka CCM, akasema kwa kuwa chama hicho dola kongwe CCM kina wabunge zaidi ya 97% ya wa wabunge wote katika bunge la 2020 hategemei CCM kusikiliza maoni ya vyama ya upinzani na wadau walio nje ya bunge la sasa, akasema ingekuwa bunge la sasa ni kama la mwaka 2015 angekuwa na matumaini ya kitu tofauti maana wapinzani ndani ya bunge walikuwa zaidi ya 40% hiyo ingeleta majadala mzito.

CUF ni CCM.
 
Hiyo subira inatakiwa iwe ya muda gani?
Maana wapinzani wamekuwa wavumilivu kwa zaidi ya miongo 3 (miaka 30).
 
Hii 2024 chama dola kongwe CCM ni mwisho wao wa kugandamiza uhuru na haki za kidemokrasia
 
MZEE HASHIM RUNGWE AUNGA MKONO MAANDAMANO YA CHADEMA " NI HAKI YAO WAACHE WAANDAMANE "

View: https://m.youtube.com/watch?v=hDm5G_P3aT4

Amshukia vikali kada mkongwe wa CCM Mzee Stephen Wasira ...

Pia waandishi wa habari wapewa karipio kwa kutotaja majina na viongozi wa vyama 13 vilivyoungana kupinga maandamano

Mzee Hashim Rungwe hakuwaacha viongozi wa dini, awashutumu kutumika na CCM kutupotezea muda ....
 
18 JANUARY 2024

CUF YASEMA SUBIRA ITUMIKE, MAANDAMANO YASITISHWE HADI BUNGE LIPITISHE MISWADA YA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA TUME YA UCHAGUZI

Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA 24 January 2024.

Katibu mkuu wa CUF alipobanwa zaidi kuwa kiuhalisia bunge ni la chama kimoja dola kongwe yaani CCM, je chama cha CUF wanauhakika gani CCM yenye wabunge wengi ktk bunge na kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba wanaweza kusikiliza maoni ya wasio wanaCCM na wadau.

Katibu mkuu wa CUF Bw. Hamad Masoud Hamad alipobanwa kuwa anatarajia kitu tofauti kutoka CCM, akasema kwa kuwa chama hicho dola kongwe CCM kina wabunge zaidi ya 97% ya wa wabunge wote katika bunge la 2020 hategemei CCM kusikiliza maoni ya vyama ya upinzani na wadau walio nje ya bunge la sasa, akasema ingekuwa bunge la sasa ni kama la mwaka 2015 angekuwa na matumaini ya kitu tofauti maana wapinzani ndani ya bunge walikuwa zaidi ya 40% hiyo ingeleta majadala mzito.

Huu ujinga was marekebisho ya sheria za uchaguzi nani anautaka!!?

Watu wanataka katiba mpya ya warioba ile!!

Serikali na chadema wanatukosea wananchi!!

Sisi hatutaki uchaguzi kwa katiba iliyopo!madhara yake tuliyaona mwaka 2020!tunataka katiba mpya TU!!
 
18 JANUARY 2024

CUF YASEMA SUBIRA ITUMIKE, MAANDAMANO YASITISHWE HADI BUNGE LIPITISHE MISWADA YA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA TUME YA UCHAGUZI

Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA 24 January 2024.

Katibu mkuu wa CUF alipobanwa zaidi kuwa kiuhalisia bunge ni la chama kimoja dola kongwe yaani CCM, je chama cha CUF wanauhakika gani CCM yenye wabunge wengi ktk bunge na kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba wanaweza kusikiliza maoni ya wasio wanaCCM na wadau.

Katibu mkuu wa CUF Bw. Hamad Masoud Hamad alipobanwa kuwa anatarajia kitu tofauti kutoka CCM, akasema kwa kuwa chama hicho dola kongwe CCM kina wabunge zaidi ya 97% ya wa wabunge wote katika bunge la 2020 hategemei CCM kusikiliza maoni ya vyama ya upinzani na wadau walio nje ya bunge la sasa, akasema ingekuwa bunge la sasa ni kama la mwaka 2015 angekuwa na matumaini ya kitu tofauti maana wapinzani ndani ya bunge walikuwa zaidi ya 40% hiyo ingeleta majadala mzito.

Mamluki utawajua tu
 
Tatizo CCM wanaona subira ni unyonge kwa upinzani. Hivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu akaamini kuwa CCM wana nia ya kuleta mabadiliko ambayo yataiondoa madarakani? Ni ukweli usiopingika kuwa uchaguzi ukiwa huru na haki CCM inaondoka madarakani.
 
18 JANUARY 2024

CUF YASEMA SUBIRA ITUMIKE, MAANDAMANO YASITISHWE HADI BUNGE LIPITISHE MISWADA YA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA TUME YA UCHAGUZI

Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA 24 January 2024.

Katibu mkuu wa CUF alipobanwa zaidi kuwa kiuhalisia bunge ni la chama kimoja dola kongwe yaani CCM, je chama cha CUF wanauhakika gani CCM yenye wabunge wengi ktk bunge na kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba wanaweza kusikiliza maoni ya wasio wanaCCM na wadau.

Katibu mkuu wa CUF Bw. Hamad Masoud Hamad alipobanwa kuwa anatarajia kitu tofauti kutoka CCM, akasema kwa kuwa chama hicho dola kongwe CCM kina wabunge zaidi ya 97% ya wa wabunge wote katika bunge la 2020 hategemei CCM kusikiliza maoni ya vyama ya upinzani na wadau walio nje ya bunge la sasa, akasema ingekuwa bunge la sasa ni kama la mwaka 2015 angekuwa na matumaini ya kitu tofauti maana wapinzani ndani ya bunge walikuwa zaidi ya 40% hiyo ingeleta majadala mzito.

Chadema ipo na nguvu ya mara mbili ya nguvu ya muunganiko wa vyama uchwara vyote plus ccm ,so kama chama kimefika hatua yakuweza kutoa misimamo yake na kuweza kuisimami bila utegemezi wa chama ,kikundi au mtu yoyote , hivyo CUF na vyama vya aina yake vitambue chadema sio saizi yao

Tukutane 24, tukiwa na Mfangio, dekio, ndoo ya maji, sabuni ya unga , mbwai mbwai
 
Sahihi kabisa, cdm imesharuka hatua ya kutegemea mbeleko ya vyama shikizi. Inachosimamia cdm ni hoja zake, hasa ukizingatia ndio zinaungwa mkono na wapenda mabadiliko.
 
Back
Top Bottom