CUF: Tunatarajia Uchaguzi Mkuu utakuwa wa Uhuru na Haki. Yeyote atakayetutikisa tutamwangusha kama papai mtini

CUF: Tunatarajia Uchaguzi Mkuu utakuwa wa Uhuru na Haki. Yeyote atakayetutikisa tutamwangusha kama papai mtini

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
TUNATARAJIA UCHAGUZI MKUU UTAKUWA WA UHURU NA HAKI, YEYOTE ATAKAYETUTIKISA TUTAMWANGUSHA KAMA PAPAI MTINI"

KATIBU MKUU CUF HAROUB MOHAMMED SHAMIS

Ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu Maalum wa kuwachagua wagombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar uliyofanyika julai 27,2020.
 
mwaka huu watapewa nchi ya mapapai.
makofi tafadhali
 
Siku Lipumba amerudi CUF baada ya ndoa ya mpito na ccm, hapo ndio alikitia shombo chama chenu. Kwa bahati mbaya CUF mmekubali kumkumbatia huyo muhuni Lipumba, saa hii mmebaki kuja na sentensi tata, eti mtaamuangusha kama papai. Mtakula jeuri yenu.
 
Nyinyi hampati hata kiti kimoja si ubunge wala udiwani.
 
TUNATARAJIA UCHAGUZI MKUU UTAKUWA WA UHURU NA HAKI, YEYOTE ATAKAYETUTIKISA TUTAMWANGUSHA KAMA PAPAI MTINI"

KATIBU MKUU CUF HAROUB MOHAMMED SHAMIS

Ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu Maalum wa kuwachagua wagombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar uliyofanyika julai 27,2020.
na wewe eti una watoto wanakueshimu
 
Usije kushangaa CCM wakakata rufaa NEC kupinga uwanchama wa Lipumbavu ndani ya CUF na kutowa ushahidi kuwa alikwisha fukuzwa uwanachama tokea wakati Maal8m Seif ni katibu mkuu!!
 
Back
Top Bottom