johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kitu gani kieleweke?Naunga mkono hoja! Mpaka kieleweke.
Wako serikalini!ACT wanasemaje?
Mwiko MwikoNina uhakika CHADEMA watashiriki uchaguzi 2025 hata bila ya uwepo wa tume huru, Kauli nyengine ni kujitengenezea mazingira ya kuja kudharaulika tu mbeleni.
NeverNina uhakika CHADEMA watashiriki uchaguzi 2025 hata bila ya uwepo wa tume huru, Kauli nyengine ni kujitengenezea mazingira ya kuja kudharaulika tu mbeleni.
Chama cha CUF kimesema hakitashiriki uchaguzi wowote utakaoitishwa kwa sababu bado wanapima hali ya kisiasa nchini ikiwemo uhalali wa tume ya uchaguzi.
Mwenyekiti Prof Lipumba amesema maamuzi hayo yamefikiwa na kikao cha kamati kuu.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilishatoa msimamo ke huo wa kutoshiriki uchaguzi wowote hadi ipatikane Tume huru.
Source Star tv
Ramadhan Kareem!