CUF yaungana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi wowote hadi ipatikane Tume Huru

Hii aijakaa poa asee.
Potelea mbali,kuna Chauma,ADC,Sau,Demokrasia makini,ACT n,k watashiriki na uchaguzi utakuwa huru,haki na uwazi.
 
Hivi hata wakishiriki uchaguzi wa balozi wa nyumba 10 watashinda kweli hawa CUF?
 

ACT kawafunika wote hao

imhotep hamia ACT
 
Wafadhili pia waandikiwe barua ili nao waendelee kuishinikiza CCM laa sivyo huo mgomo wa kushiriki Uchaguzi ndio itakua BARAKA kwa CCM.

Pia jumuiya ya Kimatataifa iweke wazi kuwawekea Vikwazo viongozi wote wa CCM akiwemo Mwenyekiti.
Tena unganeni wote nafamilia zenu zote kabisa, walamsinuse pua kuharibu uchaguzi, maaana tumechoka na kiki zenu na maigizo yenye fujoo. Kaeni hukohuko
 
Hivyo vyama vya CUF na CHADEMA vilishakufa wanabaki kudandua hoja tu
 
Hizo ni hekaya tushazizoea
 
This is a good move, why participate when your chances of winning are 0%. Tena sasa hivi ndiyo mbaya zaidi, maana wanaitukana maiti.
 
Safi sana.

Na waushikilie msimamo huo mpaka 2025 na hata baada ya hapo.

NCCR Mageuzi nao inabidi waunge tela.
 
Lipumba haaminiki hata kidogo
 
Huo ni muungano wa mashetani hautadumu hata hivyo hawajavunja sheria yoyote maana kushirki uchaguzi sio lazima ni suala la hiari na hizo ndio gharama za demokrasia
 
Pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Lipumba msaliti mkubwa. CDM achana na mamuluki huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…