CUF yaungana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi wowote hadi ipatikane Tume Huru

CUF waliyasema haya Novemba 2020
 
Hii tume ya uchaguzi imejaa wahuni watupu!!
Kongole CDM ni uamuzi wa kiume!! Kushiriki dhambi huku ukijua ni dhambi..ni dhambi kubwa!!
 
Ccm kukupa tume huru ya uchaguzi ni SAwa na kulala mlango wazi huku ukimuomba Mungu kibaka aisiingie ndani kuiba.
Hata wale wanaharakati waliokuwa kwenye mapendekezo ya tume huru tumeshuhudia wakiikana baada ya kuketi mezani na wakuu.
 
CUF hii hii ya Lipumba aliyevuruga UKAWA? Dunia ina mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…