Current regime, Sio sahihi wala haipo katika hali, mahali, na nyakati, sahihi

Current regime, Sio sahihi wala haipo katika hali, mahali, na nyakati, sahihi

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
1,028
Reaction score
1,790
SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE.

Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni).

Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati chombo ni kibovu, chombo kiliitaji service kabla hatujaanza safari.
 
Mbali na yote bado tunapaswa kuishukuru serikali yetu tukufu ya awamu halali ya 6 ya mheshimiwa dokta mama Samia kwa mazuri aliyotuletea huku vijijini.

Kwa sasa tuna neema kubwa sana maji, hapo kabla tuliishi kwa mateso mno
Lucas Mwashambwa
 
Back
Top Bottom