CV without CSEE certificate

Status
Not open for further replies.

AbdulHRX

New Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Mambo vp,

Mimi ni kijana wa miaka 21 ninaishi Dar.

Nilikuwa naomba ideas. Zenu maarifa yenu mawazo yenu . Nilisoma Nusery na Kisha nikaenda primary ila sikupata certificate ya darasa la Saba kwa sababu. Shule niliyosoma ilikuwa haijasaliwa lkn nikaendelea hadi form 4 nikamaliza lakini sijapata certificate maana nilifeli kwa sababu fulani. Lakini nilipata D moja ya Kiingereza.

Na nikabahatika kupata chuo ambacho kipo Kenya nikasomea Mambo ya airport bila ya kuwa na Cheti cha fom 4 na Sasa tumemaliza hivi karibuni nitapata vyeti vyangu vya certificate

Maswali yangu ni:
  1. Eti naweza kuapply field yoyote bila ya mimi kuwa na certificate ya form 4
  2. Nitaweza kuandika CV bila ya kuwa na certificate ya fom 4
  3. Hakuna shirika binafsi la airport ambalo linaweza kuniajiri bila mimi kuwa na certificate ya form 4
  4. Hapo badae nikapata kazi airport sitakuwa na shda yeyote kwa kukosa Cheti hicho Cha form 4
Please naombeni mawazo yenu na ideas zenu
 
Em fanya kurisit chet cha fom 4 ndio msng wa elmu ya Tanzania na ndio ktambulisho chako kwenye ajira
 
Haiwezekani kabisa kabisa kabisa, rudia mtihani wa kidato cha nne ndio tiba pekee ya kukuponya na maradhi ya kukosa ajira hasa hizi za serikali.
 
Tusipoteze muda, haiwezekani, cha kufanya reseat paper la form 4, tena soma at least masomo 7
 
Ukipewa kazi utaweza? Hili ndio la msingi.
Achana na utitiri wa vyeti( makaratasi).

Wengi wana CV nzuri lkn utendaji wa kazi ni ZERO
 
[emoji3516]
MKUU,
LABDA MALAWI-
ILA KWA NCHI HII HAWAWEZI KUKUELEWA!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…