Mambo vp,
Mimi ni kijana wa miaka 21 ninaishi Dar.
Nilikuwa naomba ideas. Zenu maarifa yenu mawazo yenu . Nilisoma Nusery na Kisha nikaenda primary ila sikupata certificate ya darasa la Saba kwa sababu. Shule niliyosoma ilikuwa haijasaliwa lkn nikaendelea hadi form 4 nikamaliza lakini sijapata certificate maana nilifeli kwa sababu fulani. Lakini nilipata D moja ya Kiingereza.
Na nikabahatika kupata chuo ambacho kipo Kenya nikasomea Mambo ya airport bila ya kuwa na Cheti cha fom 4 na Sasa tumemaliza hivi karibuni nitapata vyeti vyangu vya certificate
Maswali yangu ni:

- Eti naweza kuapply field yoyote bila ya mimi kuwa na certificate ya form 4
- Nitaweza kuandika CV bila ya kuwa na certificate ya fom 4
- Hakuna shirika binafsi la airport ambalo linaweza kuniajiri bila mimi kuwa na certificate ya form 4
- Hapo badae nikapata kazi airport sitakuwa na shda yeyote kwa kukosa Cheti hicho Cha form 4