CV without CSEE certificate

CV without CSEE certificate

Status
Not open for further replies.

AbdulHRX

New Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Mambo vp,

Mimi ni kijana wa miaka 21 ninaishi Dar.

Nilikuwa naomba ideas. Zenu maarifa yenu mawazo yenu . Nilisoma Nusery na Kisha nikaenda primary ila sikupata certificate ya darasa la Saba kwa sababu. Shule niliyosoma ilikuwa haijasaliwa lkn nikaendelea hadi form 4 nikamaliza lakini sijapata certificate maana nilifeli kwa sababu fulani. Lakini nilipata D moja ya Kiingereza.

Na nikabahatika kupata chuo ambacho kipo Kenya nikasomea Mambo ya airport bila ya kuwa na Cheti cha fom 4 na Sasa tumemaliza hivi karibuni nitapata vyeti vyangu vya certificate

Maswali yangu ni:
  1. Eti naweza kuapply field yoyote bila ya mimi kuwa na certificate ya form 4
  2. Nitaweza kuandika CV bila ya kuwa na certificate ya fom 4
  3. Hakuna shirika binafsi la airport ambalo linaweza kuniajiri bila mimi kuwa na certificate ya form 4
  4. Hapo badae nikapata kazi airport sitakuwa na shda yeyote kwa kukosa Cheti hicho Cha form 4
Please naombeni mawazo yenu na ideas zenu
 
Haiwezekani kabisa kabisa kabisa, rudia mtihani wa kidato cha nne ndio tiba pekee ya kukuponya na maradhi ya kukosa ajira hasa hizi za serikali.
 
Tusipoteze muda, haiwezekani, cha kufanya reseat paper la form 4, tena soma at least masomo 7
 
Ukipewa kazi utaweza? Hili ndio la msingi.
Achana na utitiri wa vyeti( makaratasi).

Wengi wana CV nzuri lkn utendaji wa kazi ni ZERO
 
Mambo vipi,

Mm ni kijana wa miaka 21 ninaishi Dar.

Nilikuwa naomba ideas. Zenu maarifa yenu mawazo yenu . Nilisoma Nusery na Kisha nikaenda primary ila skupata certificate ya darasa la Saba kwa sababu. Shule niliyosoma ilikuwa haijasaliwa lkn nikaendelea hadi form 4 nikamaliza lkni sijapata certificate maana nilifeli kwa sababu flani. Lkn nilipata D moja ya Kiingereza.

Na nikabahatika kupata chuo ambacho kipo Kenya nikasomea Mambo ya airport bila ya kuwa na Chet cha fom 4 na Sasa tumemaliza hivi karibuni nitapata vyeti vyangu vya certificate

Maswali yangu ni:
  1. Eti naweza kuaply field yoyote bila ya mim kuwa na certificate ya fom 4
  2. Nitaweza kuandika CV bila ya kuwa na certificate ya fom 4
  3. Hakuna shirika binafsi la airport ambalo linaweza kuniajiri bila mm kuwa na certificate ya fom 4
  4. Hapo badae nikapata kaz airport sitakuwa na shda yyte kwa kukosa Cheti hicho Cha fom 4
Please naombeni mawazo yenu na ideas zenu
[emoji3516]
MKUU,
LABDA MALAWI-
ILA KWA NCHI HII HAWAWEZI KUKUELEWA!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom