CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,067
Nimemskia huyu jamaa Kiss FM alikuwa anahojiwa kuhusu kujisalimisha kwa Mapacha na kuwapigia magoti Clouds, ameongea mambo ya msingi sana ambayo ni nadra kwa wasanii wetu wasiokwenda shule kuyafahamu, achilia mbali uwezo wa kusimama na kuongea kitu wanachoweza kusikilizika na kueleweka. Mnaofahamu jamani hebu tupieni habari zake hapa.