carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Amemaliza form four seminary fulani morogoro mwishoni mwa miaka ya tisini
Kwa kifupi jamaa ana exposure sana na anajiweza sana katika interview anawazidi wasanii wengi sana wa kibongo katika hili
Alisoma chanjale seminary upareni...ilikuwa awe padri ila sijui kilichosababisha ku drop...yuko vizur kichwani...ila tatizo ni mgomvi sana...hasa akiwa kanywa na anapenda mikonyagi sana.