CV YA Dudu Baya

CV YA Dudu Baya

Amemaliza form four seminary fulani morogoro mwishoni mwa miaka ya tisini
Kwa kifupi jamaa ana exposure sana na anajiweza sana katika interview anawazidi wasanii wengi sana wa kibongo katika hili

Alisoma chanjale seminary upareni...ilikuwa awe padri ila sijui kilichosababisha ku drop...yuko vizur kichwani...ila tatizo ni mgomvi sana...hasa akiwa kanywa na anapenda mikonyagi sana.
 
kwa hiyo jamaa wameomba poo wenyewe.dah kweli wafu fm ni noma.hiyo kazi ameiweza lady jay dee na sugu tu.hata jide mwenyewe wamemchukulia poa tu ila wakiamua mmh.
 
Mtu yeyote aliyesoma seminary za catholc ni vichwa sana... Hakunaga mbumbumbu.... Ukiwa na from four, ni sawa na six ya kawaida...
 
Nliwahi kumsikia akisema ni mtaalamu wa usanifu majengo pia
 
Back
Top Bottom