CV YA Dudu Baya

CV YA Dudu Baya

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
7,341
Reaction score
4,067
Nimemskia huyu jamaa Kiss FM alikuwa anahojiwa kuhusu kujisalimisha kwa Mapacha na kuwapigia magoti Clouds, ameongea mambo ya msingi sana ambayo ni nadra kwa wasanii wetu wasiokwenda shule kuyafahamu, achilia mbali uwezo wa kusimama na kuongea kitu wanachoweza kusikilizika na kueleweka. Mnaofahamu jamani hebu tupieni habari zake hapa.
 
Ameongea nini sasa?lete habari kamili sio wote waliosikiliza hiyo radio.
 
Siku moja nilomuona Gold crest lol hata watu hawamjuiii kachokaaaa
 
Elimu yake ni zaidi ya lema na sugu msigwa mbowe hiyo ndio duduzuri
 
Amemaliza form four seminary fulani morogoro mwishoni mwa miaka ya tisini
Kwa kifupi jamaa ana exposure sana na anajiweza sana katika interview anawazidi wasanii wengi sana wa kibongo katika hili
 
Ameongea nini sasa?lete habari kamili sio wote waliosikiliza hiyo radio.

haujaelewa nini sasa?!!...kama hauna cv yake basi tungoje wanaomjua, alichoongea ni thread nyingine.:shut-mouth:
 
Elimu yake ni zaidi ya lema na sugu msigwa mbowe hiyo ndio duduzuri

umekosea njia, hili si jukwaa la siasa, kama unajua sana siasa ungekuwa dodoma sasa hivi.
 
haujaelewa nini sasa?!!...kama hauna cv yake basi tungoje wanaomjua, alichoongea ni thread nyingine.:shut-mouth:

Sasa wewe CYBERTEQ umeleta habar nusu,mtu anakuelekeza unajibu ovyo,ilitakiwa useme alichoongea bhana uwe mstaarabu..
 
Last edited by a moderator:
anauza mbao mwanza na kupiga tenda za ujenzi aka mkandarasi kishoka
 
Kujisalimisha mapacha? Sielewi kitu hapa!
 
Back
Top Bottom