Nimemskia huyu jamaa Kiss FM alikuwa anahojiwa kuhusu kujisalimisha kwa Mapacha na kuwapigia magoti Clouds, ameongea mambo ya msingi sana ambayo ni nadra kwa wasanii wetu wasiokwenda shule kuyafahamu, achilia mbali uwezo wa kusimama na kuongea kitu wanachoweza kusikilizika na kueleweka. Mnaofahamu jamani hebu tupieni habari zake hapa.
Siku moja nilomuona Gold crest lol hata watu hawamjuiii kachokaaaa
Elimu yake ni zaidi ya lema na sugu msigwa mbowe hiyo ndio duduzuri
haujaelewa nini sasa?!!...kama hauna cv yake basi tungoje wanaomjua, alichoongea ni thread nyingine.:shut-mouth:
Elimu yake ni zaidi ya lema na sugu msigwa mbowe hiyo ndio duduzuri
Dady pliz hatuko jukwaa la siasa hapa give us break jamani tumechokaaaaaaaaaaaaaaaa!
Kumbe wewe wa mwanza?