Amemaliza form four seminary fulani morogoro mwishoni mwa miaka ya tisini
Kwa kifupi jamaa ana exposure sana na anajiweza sana katika interview anawazidi wasanii wengi sana wa kibongo katika hili
.. Hakunaga mbumbumbu.... Ukiwa na from four, ni sawa na six ya kawaida...