Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
One of my mottos in life is: playing well is the key to success.
My style is based on being leaders with the ball, take the initiative through the combination play, being strong and aggressive when we don´t have it and take a greater return of the trasitions and actions of set-pieces.
My goal is being able to manage perfectly the entire game, in all of its variants, field zones, game moments and all the different circumstances that may occur during the competition.
All designed in a way that allows everyone (you as a fan and us being main characters) to enjoy each game, being proud of the team and obtain greatest results.
Zaidi sana tunawaomba TFF huu ndio muda wa kutangaza ligi ya Tanzania kimataifa.Safi Sana,ni matumaini yangu kuwa Simba yetu inaenda kubadilika na kuwa viwango vya juu.
Kweli kabisa.Zaidi sana tunawaomba TFF huu ndio muda wa kutangaza ligi ya Tanzania kimataifa.
Tuache michezo ya kushamba ya kurukia na kutaka kuvunja watu miguu. Tuende kwenye professional football.
Mnaenda na nani??Zaidi sana tunawaomba TFF huu ndio muda wa kutangaza ligi ya Tanzania kimataifa.
Tuache michezo ya kushamba ya kurukia na kutaka kuvunja watu miguu. Tuende kwenye professional football.
Kwani upande wa pili wanasemaje!?Zaidi sana tunawaomba TFF huu ndio muda wa kutangaza ligi ya Tanzania kimataifa.
Tuache michezo ya kushamba ya kurukia na kutaka kuvunja watu miguu. Tuende kwenye professional football.
Tuliambiwa kuwa, analetwa kocha asiye MZUNGU! Imekuwaje tena?Soka la Tanzania linakuwa kwa kasi sana. Inabidi sasa mambo ya ndumba na kutegemea wagaga wakienyeji tuachane nayo.
Hii hapa ni website ya kocha wetu mpya wa Simba
Wenzetu ulaya kila kitu kinawekwa wazi.
CV yake hii hapa chini kwa ufupi tu
View attachment 2001574View attachment 2001575
Mipira yenu ya ndumba imeshapitwa na wakati. Mtapata kombe la maziwa mwaka huu. UTO kama UTOKocha mzuri ila je ataweza kuielewesha timu? Kocha wa maana ni yule mzee ambaye alikuwa ameivusha timu kwenda kwenye level za kuwafunga warabu wale
Mliambiwa na nani!?Tuliambiwa kuwa, analetwa kocha asiye MZUNGU! Imekuwaje tena?
Wanamtegemea mzee Mpili.Kwani upande wa pili wanasemaje!?
Barbra! We' hukusikia?Mliambiwa na nani!?