CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Soka la Tanzania linakuwa kwa kasi sana. Inabidi sasa mambo ya ndumba na kutegemea wagaga wakienyeji tuachane nayo.

Hii hapa ni website ya kocha wetu mpya wa Simba

Wenzetu ulaya kila kitu kinawekwa wazi.
CV yake hii hapa chini kwa ufupi tu
Screenshot_20211107-064325.png
Screenshot_20211107-064345.png
 
PLAYING STYLE
One of my mottos in life is: playing well is the key to success.



My style is based on being leaders with the ball, take the initiative through the combination play, being strong and aggressive when we don´t have it and take a greater return of the trasitions and actions of set-pieces.



My goal is being able to manage perfectly the entire game, in all of its variants, field zones, game moments and all the different circumstances that may occur during the competition.



All designed in a way that allows everyone (you as a fan and us being main characters) to enjoy each game, being proud of the team and obtain greatest results.

Screenshot_20211107-064713.png
 
Zaidi sana tunawaomba TFF huu ndio muda wa kutangaza ligi ya Tanzania kimataifa.

Tuache michezo ya kushamba ya kurukia na kutaka kuvunja watu miguu. Tuende kwenye professional football.
Mnaenda na nani??

Wenzako wanaocheza wapo huko wanafanya mazoezi ya kuvunja viuno😂
 
Kocha mzuri ila je ataweza kuielewesha timu? Kocha wa maana ni yule mzee ambaye alikuwa ameivusha timu kwenda kwenye level za kuwafunga warabu wale
 
Kocha mzuri ila je ataweza kuielewesha timu? Kocha wa maana ni yule mzee ambaye alikuwa ameivusha timu kwenda kwenye level za kuwafunga warabu wale
Mipira yenu ya ndumba imeshapitwa na wakati. Mtapata kombe la maziwa mwaka huu. UTO kama UTO
 
Kocha ana degree ya sport Science
Mpira wa simba utakuwa wa kisayansi.

Achana na Mpira wa ndumba ni ushamba.
 
Back
Top Bottom