Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ukiangalia alikuwa hakai muda mrefu kqenye timu mpaka ananipa wasiwasiShida ni mazingira aliyofanya kazi kuna full profesinalism, wakati huku hata robo hakuna.........
Huku Africa ndiyo mara ya kwanza anakuja, honestly kwa hawa kina Mkude, Ajibu na akili zao ambazo hawataki kupangiwa cha kufanya kazi ipo kwake hasa kwasababu ni mara ya kwanza huku dunia ya 3Ndio maana ukiangalia alikuwa hakai muda mrefu kqenye timu mpaka ananipa wasiwasi
Hamuwezi. Mpira wa simba na yanga uwa hautabiriki, Yanga anaqeza akawa vizuri lakini wakikutana anafungwani mchumba wa barbra?
sisi wananchi hatuangalii title Simba lazima tuichape tu
Hapana, ni mchumba wako na amesema hataki kukuchezea lazima akuweke ndani.ni mchumba wa barbra?
sisi wananchi hatuangalii title Simba lazima tuichape tu