Usitoe majibu tu sababu kuna swali take time to analyse what you say, waweza kuwa unazidisha ukakasi tu!!!!
"Use of reasonable force" inaweza kuwa triggered na "miscommunication"?????
Una uhakika????!!!
Zaidi ya ukakamavu na uvumilivu na mengine ya ziada...
Kwa zamani hata 30 yrs aliweza kuanza darasa la kwa hata leo hii elimu ya watu wazima ipo na wanafikia level ya degree mpk phd me nafikiri kikubwa ni hapa
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
Police kupiga wafuasi wa cuf sio Igp pengine ni miscommunication baina ya jeshi la polisi na Prof Lipumba na kutofika muafaka kwa mujibu wa clip iliyorushwa
Usitoe majibu tu sababu kuna swali take time to analyse what you say, waweza kuwa unazidisha ukakasi tu!!!!
"Use of reasonable force" inaweza kuwa triggered na "miscommunication"?????
Una uhakika????!!!
Am not Igp huo ni mtazamo wangu cv yake sijaona tatizo na haina tatizo management skills kila binadamu tunatofautiana!!!!!
Nyie si lazima kuwa na degree mpaka uwe umepitia form six, ukifaulu certificate ukafulu vema unaweza ukaendelea na first degreeIGP mteule Ernest Jumbe Mangu alizaliwa mwaka 1959 mkoani Singida na alipata elimu ya Sekondari katika Shule ya Tumaini mwaka 1981.
By :
Alijiunga na Jeshi la Polisi katika Chuo cha Polisi Moshi (CCP) tarehe 17 mwezi Agosti mwaka 1982 na kuhitimu mwezi Juni mwaka 1983 ambapo alipata mafunzo ya awali ya Polisi.
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
Akiwa ndani ya Jeshi la Polisi amepandishwa vyeo mbalimbali ikiwemo Koplo wa Polisi (1988), Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (1992), Mkaguzi wa Polisi (1995), Mrakibu Msaidizi wa Polisi (1997), Mrakibu wa Polisi (2002), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (2004), Kamishna Msaidizi wa Polisi (2006), Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (2010), Naibu Kamishna wa Polisi (2013) na Kamishna wa Polisi (2013).
Amewahi kufanya kazi kama Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza, Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Pwani na Mwanza na Kamishna wa Intelijensia ya Jinai.
Am not Igp huo ni mtazamo wangu cv yake sijaona tatizo na haina tatizo management skills kila binadamu tunatofautiana!!!!!
watanzania na wanajf wengi ni hawajielewi ndio maana wanatetea kitu ambacho hakipo.
uelewa wa mtu haupiwi na makaratasi na wingi wa madarasa
kama watu wengi wanavyodhania.
Nyie si lazima kuwa na degree mpaka uwe umepitia form six, ukifaulu certificate ukafulu vema unaweza ukaendelea na first degree
Mkuu KikulachoChako kuna CV ya ukakamavu na uvumilivu?
Tatizo watanzania siasa mpaka kwenye utendaji, razima raia watambue amri na siasa ni vitu viwili tofauti sana tusihusishe kila kitu na siasa, wakati mwingine viongozi wetu wa siasa hawaheshimu majeshi yetu hutoa tu maneno machafu bila kujali, hii ni nchi vyombo Vya ulinzi na usama viheshimiwe!
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Hii amani ya nchi lazima ilindwe kwa gharama zozote, kama mmezuiwa na vyombo vya usalama sharti kutii mamlaka.
Acheni kutafuta umaarufu.
Hii ni nchi!
Hongera IGP,