CV ya Mkuu wa jeshi la polisi

CV ya Mkuu wa jeshi la polisi

Usitoe majibu tu sababu kuna swali take time to analyse what you say, waweza kuwa unazidisha ukakasi tu!!!!

"Use of reasonable force" inaweza kuwa triggered na "miscommunication"?????
Una uhakika????!!!

Mkuu nimeshangaa Sana haya majibu
 
Kwa zamani hata 30 yrs aliweza kuanza darasa la kwa hata leo hii elimu ya watu wazima ipo na wanafikia level ya degree mpk phd me nafikiri kikubwa ni hapa

Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.

Police kupiga wafuasi wa cuf sio Igp pengine ni miscommunication baina ya jeshi la polisi na Prof Lipumba na kutofika muafaka kwa mujibu wa clip iliyorushwa

Danganya watoto
 
Usitoe majibu tu sababu kuna swali take time to analyse what you say, waweza kuwa unazidisha ukakasi tu!!!!

"Use of reasonable force" inaweza kuwa triggered na "miscommunication"?????
Una uhakika????!!!

Am not Igp huo ni mtazamo wangu cv yake sijaona tatizo na haina tatizo management skills kila binadamu tunatofautiana!!!!!
 
Am not Igp huo ni mtazamo wangu cv yake sijaona tatizo na haina tatizo management skills kila binadamu tunatofautiana!!!!!

Basi usiminishe watu kam hujana CV yake
 
Hahahaaaaa nachoshangaa mnaanza kuni attack me badala ya Cv ya Igp niliyoiweka????????
 
Hii amani ya nchi lazima ilindwe kwa gharama zozote, kama mmezuiwa na vyombo vya usalama sharti kutii mamlaka.
Acheni kutafuta umaarufu.
Hii ni nchi!
Hongera IGP,
 
Am not Igp huo ni mtazamo wangu cv yake sijaona tatizo na haina tatizo management skills kila binadamu tunatofautiana!!!!!

watanzania na wanajf wengi ni hawajielewi ndio maana wanatetea kitu ambacho hakipo.

uelewa wa mtu haupiwi na makaratasi na wingi wa madarasa

kama watu wengi wanavyodhania.
 
IGP mteule Ernest Jumbe Mangu alizaliwa mwaka 1959 mkoani Singida na alipata elimu ya Sekondari katika Shule ya Tumaini mwaka 1981.
By :

Alijiunga na Jeshi la Polisi katika Chuo cha Polisi Moshi (CCP) tarehe 17 mwezi Agosti mwaka 1982 na kuhitimu mwezi Juni mwaka 1983 ambapo alipata mafunzo ya awali ya Polisi.

Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.

Akiwa ndani ya Jeshi la Polisi amepandishwa vyeo mbalimbali ikiwemo Koplo wa Polisi (1988), Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (1992), Mkaguzi wa Polisi (1995), Mrakibu Msaidizi wa Polisi (1997), Mrakibu wa Polisi (2002), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (2004), Kamishna Msaidizi wa Polisi (2006), Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (2010), Naibu Kamishna wa Polisi (2013) na Kamishna wa Polisi (2013).

Amewahi kufanya kazi kama Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza, Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Pwani na Mwanza na Kamishna wa Intelijensia ya Jinai.
Nyie si lazima kuwa na degree mpaka uwe umepitia form six, ukifaulu certificate ukafulu vema unaweza ukaendelea na first degree
 
Am not Igp huo ni mtazamo wangu cv yake sijaona tatizo na haina tatizo management skills kila binadamu tunatofautiana!!!!!

You are not even Advera!!!! So why pretending to be the "on behalf"???!!
Mtazamo wako ndio huo nakushauri take time to analyse what you say. . . . .Hujakatazwa kutoa maoni!!
Skills tunatofautiana ndio maana kuna "conventionals" katika levels za cheti mpaka PhD ili kuondoa "humane discrepancies and scape goating". . . . . . .if not lamish excuses!!!
 
watanzania na wanajf wengi ni hawajielewi ndio maana wanatetea kitu ambacho hakipo.
uelewa wa mtu haupiwi na makaratasi na wingi wa madarasa
kama watu wengi wanavyodhania.

Wakiitwa wanaojielewa we utaenda???!!!
Hebu weka tangazo moja la kazi la serikali lisilokuwa na kigezo cha elimu wala halisisitizi kwenda au kuambatanisha vyeti wakayi wa maombi/ usahili!!!!

Ukiweka hilo tutaanzia hapo hoja yako
 
msilaumu yeye ni kiranja wa mapoliccm,order inatoka magogoni kwa bwana mkubwa
 
Tatizo si IGP!! yeye anapokea oda kutoka kwa mkuu wa nchi!! jiulizeni tangu lini polisi akawa na falsafa anayo iiishi...yeye lazima awe mtiiifu!!! kwa waziri wa ulinzi..
 
Tatizo watanzania siasa mpaka kwenye utendaji, razima raia watambue amri na siasa ni vitu viwili tofauti sana tusihusishe kila kitu na siasa, wakati mwingine viongozi wetu wa siasa hawaheshimu majeshi yetu hutoa tu maneno machafu bila kujali, hii ni nchi vyombo Vya ulinzi na usama viheshimiwe!
 
If so, kukamatwa kiongozi mwenye lugha chafu inahitaji nini kwa mfano???!!!!!
 
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Hebu uache uongo mkuu! University of Dar es salaam mwaka 1987 walikuwa wanatoa certificate ya sheria?

Pia alikudanganya nani kuwa ukimaliza certificate hiyo hapo UDSM unakuwa eligible kujiunga na Shahada?
 
mIMI NAPENDA HII, WAPIGWE TU! I mean, kuna haja wajeda na polisi wetu kufahamu kuwa wao ni sehemu ya jamii, ifike sehemu polisi wajue ni AIBUUUUUUUUUU kubwa raia kuumia ama kuteswa ama kuuawa akiwa mikononi mwao. Suala la vibali, sijuagi linatoka wapi, lakini nadhani wao wanapaswa kupewa taarifa kisha wahakikishe usalama na amani kwa kutoa ulinzi kabla, wakati na baada ya tukio. Period.
Hii amani ya nchi lazima ilindwe kwa gharama zozote, kama mmezuiwa na vyombo vya usalama sharti kutii mamlaka.
Acheni kutafuta umaarufu.
Hii ni nchi!
Hongera IGP,
 
Back
Top Bottom