mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Hebu uache uongo mkuu! University of Dar es salaam mwaka 1987 walikuwa wanatoa certificate ya sheria?
Pia alikudanganya nani kuwa ukimaliza certificate hiyo hapo UDSM unakuwa eligible kujiunga na Shahada?
If so, kukamatwa kiongozi mwenye lugha chafu inahitaji nini kwa mfano???!!!!!
Vyombo vya usalama vinafahamu mahitaji-na hutekeleza
Nachojua degree ya sheria ngazi ya chet imeanza juzi juzi tu hapo ud na kwa uelewa wangu huwezi kutoka cerficate direct degree bila diploma naomba mnijuzeee
Degree ya sheria ngazi ya cheti ni nini???!!![/QUOT
Rudia post Yangu nimeidit nilipokuchanganya
Rudia post Yangu nimeidit nilipokuchanganyaDegree ya sheria ngazi ya cheti ni nini???!!!
Indeed, na wananchi wanatafsiri na kuyapa maana! !!!!!
Kwa faida ya wasomaji nashukuru.
Kwahyo hyo certificate ya sheria aliisomea wap wakati udsm hawakuwa nayo mwaka 1987??
Hiyo CV ikipatikana inaweza ikazua mjadala mpya.Wakuu naomba tujue CV ya mkuu wetu wa jeshi la polisi nchini,yeyote anayejua CV yake atusaidie,ili tujue hawa polisi wanaongozwa na watu wenye elimu gani!
Usitoe majibu tu sababu kuna swali take time to analyse what you say, waweza kuwa unazidisha ukakasi tu!!!!
"Use of reasonable force" inaweza kuwa triggered na "miscommunication"?????
Una uhakika????!!!
Huo ndo mtihani mkuuHivi kweli CV yake itapatikana?
Wakuu naomba tujue CV ya mkuu wetu wa jeshi la polisi nchini,yeyote anayejua CV yake atusaidie,ili tujue hawa polisi wanaongozwa na watu wenye elimu gani!
Degree ya sheria ngazi ya cheti ni nini???!!!
Suala hapa ni aondoke madarakani kazi imemshinda hata kama ni Prof.
IGP must resign. Full stop
Wakuu naomba tujue CV ya mkuu wetu wa jeshi la polisi nchini,yeyote anayejua CV yake atusaidie,ili tujue hawa polisi wanaongozwa na watu wenye elimu gani!