mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Hebu uache uongo mkuu! University of Dar es salaam mwaka 1987 walikuwa wanatoa certificate ya sheria?
Pia alikudanganya nani kuwa ukimaliza certificate hiyo hapo UDSM unakuwa eligible kujiunga na Shahada?
Nachojua sheria ngazi ya chet imeanza juzi juzi tu hapo ud na kwa uelewa wangu huwezi kutoka cerficate direct degree bila diploma naomba mnijuzeee