CV ya Mkuu wa jeshi la polisi

CV ya boss inaweza kuwa nzuri ila mapolisi wa chini ni vichwa maji hata uwaeleze vipi wanafanya yao
 
Nachojua sheria ngazi ya chet imeanza juzi juzi tu hapo ud na kwa uelewa wangu huwezi kutoka cerficate direct degree bila diploma naomba mnijuzeee

nw udsm ukipat ufaul wa juu kabsa km A5 unaendelea na degree,
ud hakun diploma ya sheria
swali: wakati huo anasoma ernest kulikuwa hakun cert ya sheria,anaongopea umma
 
Nyie si lazima kuwa na degree mpaka uwe umepitia form six, ukifaulu certificate ukafulu vema unaweza ukaendelea na first degree

Mh!!! Me ndo nackia kwako at the first time.
 
Mh!!! Me ndo nackia kwako at the first time.

Humu namo kuna mizigo kama hii.Yenyewe ni kubofya tu keypads za simu mambo mengine hawayajui eti ndiyo kwanza nasikia.Alishazoea spoon feeding
 
nw udsm ukipat ufaul wa juu kabsa km A5 unaendelea na degree,
ud hakun diploma ya sheria
swali: wakati huo anasoma ernest kulikuwa hakun cert ya sheria,anaongopea umma

Nashukuru sana mkuu kwa kufafanua vizuri sio wengine wanawaza kupitia matako Mimi niliuliza vizuri nashukuru umenielewa nyie ndio mnatakiwa kuwa viongozi wa nchi safii sana
 

Hii njia ngumu aliyoitumia huyu kamanda kupata elimu tunaiita COMPLETE METAMORPHOSIS. Watu waliosoma kwa taabu kama Mangu Ni vigumu sana kukataa amri za wanasiasa kwa vile hayuko secured
 

Umeanza vibaya umemaliza vizuri,niliuliza swali sio najua nilikuwa nahitaji fahamu so kabla hujajibu swali rudia Mara ya Pili sio kukurupuka
 
Nachojua sheria ngazi ya chet imeanza juzi juzi tu hapo ud na kwa uelewa wangu huwezi kutoka cerficate direct degree bila diploma naomba mnijuzeee

Haaaa haaa, interesting! Certificate to degree?! Usalamani inawezekana siyo kwa prospectus wakuu
 
msisahau kwamba vyombo vya dola (police,jeshi,magereza,uhamiaji n.k) vipo kwa ajili ya maslahi ya "the haves" na sio "have nots" ukishalielewa hili fanya yako mind your business live your life maana hii system ilikua hivyo,ipo hivyo na itaendelea kua hivyo.Ile definition ya "government" ya Lincoln neno "people" linamaanisha "the haves" na sio wewe unaelalamika hapa,fanya yako usiruhusu kuumizwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…