mwandiga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,506
- 664
Kama hujui funga domo sio kuongea utumbo. Unachoandika hakipo hapa Tanzania labda kijiji kwenu.Degree ya sheria ngazi ya cheti ni nini???!!![/QUOT
Rudia post Yangu nimeidit nilipokuchanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujui funga domo sio kuongea utumbo. Unachoandika hakipo hapa Tanzania labda kijiji kwenu.Degree ya sheria ngazi ya cheti ni nini???!!![/QUOT
Rudia post Yangu nimeidit nilipokuchanganya
Haya bhana
Nachojua sheria ngazi ya chet imeanza juzi juzi tu hapo ud na kwa uelewa wangu huwezi kutoka cerficate direct degree bila diploma naomba mnijuzeee
Wananchi na wengi watu tupo kwenye hisia na sympathy
Nyie si lazima kuwa na degree mpaka uwe umepitia form six, ukifaulu certificate ukafulu vema unaweza ukaendelea na first degree
Mh!!! Me ndo nackia kwako at the first time.
Kama hujui funga domo sio kuongea utumbo. Unachoandika hakipo hapa Tanzania labda kijiji kwenu.
Tatizo umedandia treni kwa mbele utagongwa nyau weeee
nw udsm ukipat ufaul wa juu kabsa km A5 unaendelea na degree,
ud hakun diploma ya sheria
swali: wakati huo anasoma ernest kulikuwa hakun cert ya sheria,anaongopea umma
IGP mteule Ernest Jumbe Mangu alizaliwa mwaka 1959 mkoani Singida na alipata elimu ya Sekondari katika Shule ya Tumaini mwaka 1981.
By :
Alijiunga na Jeshi la Polisi katika Chuo cha Polisi Moshi (CCP) tarehe 17 mwezi Agosti mwaka 1982 na kuhitimu mwezi Juni mwaka 1983 ambapo alipata mafunzo ya awali ya Polisi.
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
Akiwa ndani ya Jeshi la Polisi amepandishwa vyeo mbalimbali ikiwemo Koplo wa Polisi (1988), Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (1992), Mkaguzi wa Polisi (1995), Mrakibu Msaidizi wa Polisi (1997), Mrakibu wa Polisi (2002), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (2004), Kamishna Msaidizi wa Polisi (2006), Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (2010), Naibu Kamishna wa Polisi (2013) na Kamishna wa Polisi (2013).
Amewahi kufanya kazi kama Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza, Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Pwani na Mwanza na Kamishna wa Intelijensia ya Jinai.
hajuia hata anachosema. Cheti cha sheria UDSM wameanza kutoa muda mrefu sana, na swala la kwenda digrii baada ya cheti liko hivi.
1.Pass with distinction.
2.Pass halafu ukiwa na elimu ya form six au form four, unafanya premature entry masomo ya mwaka mmoja tu ukifaulu unaanza digrii.
3. Ukipata diploma yake.
Hivyo inawezekana tu wala sio ishu.
Nachojua sheria ngazi ya chet imeanza juzi juzi tu hapo ud na kwa uelewa wangu huwezi kutoka cerficate direct degree bila diploma naomba mnijuzeee