CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

nakusamehe sababu umejiunga leo humu kwenye jukwaa,sasa ni hivi kabla hauja post mada yoyote fanya research kwanza,,jay kamaliza form 6 lutengano mbeya,na pili anakuja cdm sio kwa sababu ya elimu yake,jay ashajijenga sana,sasa anakuja kulilia haki zake ,na kujiandaa kuwa mbunge 2015
 
Mawazo au mazungumzo ya prof jay, ni ya maana kuliko ht mnaowapigia makofi kila siku, besides, kuna shida gani mtu kuwa mwanachama wa chama akipendacho? Ccm ndo kuna wasomi?
 
Ukiandika kama hii unapata kazi pale B.O.T, na computer literacy ni...i have been watch MANDINGO for all time!

Hahaha...so watching what so called "Mandingo" ndiyo upo computer literate!! khaa
 
Mnalilia usajili wa CDM?cdm hawachukui vyeti tuu ni makaratasi tuu..Mlisema kwa Sugu na Lema.Sasa hivi Lema akijisikia kuona Bi mkora akitikisa mwili ,humwambia tuu "Vipi niltete ushihidi upi wa waziri Mkuu kudanganya bunge, au wa mdini", mama anatikisa anamwambia wewe..Mheshimiwa siku nyingine....

CDM huwa hawafanyai usajili uliozidi bila maana, huwa wana sajili strategically, na wana wanachukua wana mikakati.Chie chukueni vyeti, na siku hizi kuna wanafunzi waliopitishwa kwa mikakati hata wakipiga zero.Hivi pale Moro wana Disco wanafunzi wangapi?
 
Prof Jay kajiunga CDM na wewe umejiunga JF! What a coincidence?
 
Kwakweli hata jina la profesa halimfai tena Kumbe ameishia darasa la nne khaaaaaaA

Bora u prof unaotambuliwa na jamii kwa kazi yako kuliko watu wanaopeana phd za mezan hawana postv impacts yyt zaid ni kuiba tu!
 
sisi darasa la saba tusubiri kupata kura na kuwasukuma na magari yenu mkija kutushawishi tuwachague....
 
nyie ndio mnaotusababisha watu tupigwe ban?
unatuletea ukuu-manniner hapa.!
 
Yule msanii wenu tegemeo Diamond nae amesema amechoshwa na CCM, yeye ana elimu gani?

chadema ni chama cha wote, maskini,wasomi na wasio wasomi,matajiri na maskini,wafanyabiashara kubwa hadi machinga, wakulina na wafanyakazi...tofauti yake na ccm..imekuwa ya polisi na viongozi walioko madarakani, wauza meno ya tembo na twiga walio hai, mafisadi, waombaji na wapokea rushwa, wauza mihadarati, wenye elimu za mezani, wang'oa kucha na wabambikiaji wa kesi kwa wananchi....chadema kila mtanzania ana nafasi....
 

kati ya wapumbavu wewe ni namba moja kwani huwezi kumjaji mtu kwa elimu yake na utendaji japo siamini kama ni elimu yake kweli, pia ccm ina maprofesa, maDR, na hata degree holder wangapi ila utendaji wao ni mbovu kama nini kana kwamba hata angekuwa ni mtu ambae hajapata hata elimu ya msingi hawezifanya upumbavu na ujinga kama kama wanaofanya ccm sasa
 

Wewe wasema nadhani hata sugu alipoingia kwenye siasa utakuwa ulibongo upuuzi kama huu na sasa unamkubali
 
Najaribu kuimagine kama leo J angetangaza kujiunga ccm mngeongea nini..,?Jay ndo habari ya mujini maana alishawahi Kalapina kujiunga na cuf haikumake headline kama hii.
Aliwahi kucheza kiduku Marlaw kwenye kampeni za jk haikuwa na impact yöyote.
Hata Nakaya kurejea ccm haikusound ila leo kifaa kimepiga hiroshima wodi zote zimefurika wagonjwa. Prof huko uliko nakuongezea majina.We ni TRANSFOMA,HIROSHIMA,NAGASAKI,HAVARD,V8,7STAR GENERAL,NGULI,JUMBO JET,
 
Anayempinga J atoe hoja kwa kujibu hoja zifuatavyo

1. Kuna watu ni madokta lakin hawana PhD na naamin mnawajua

2. Katika nchi za wenzetu J angekuwa ameshapewa degree kadhaa za heshima

3. Kufanya muziki wa hiphop kukubalika bongo ni zaidi ya wale vilaza wenye degree za kufoj kwenye makaratas

4. Elimu ni jinsi unavyosaidia jamii sio kutumia vyeti kuwanyonya wananchi
 
Kuna elimu na madarasa hivi vitu viwili unaweza ukasema vinaendana kumbe sio lazima.So unaweza kuwa na elimu bila madarasa ona mifano kama wakina Shigongo,Mrisho mpoto na wengine kibao ambao hawana elimu ila wanawakimbiza kimapato hata maprofesa.Elimu ni tofauti sana na madarasa jamani ni uwezo wa kuweza kumudu nature na kutatua matatizo mbalimbali so kama prof Jay ni darasa la nne basi anastaili kujiita Profesal kwa yale aliyoyafanya na anayoyazungumza kwenye nyimbo zake.
NA NYIE WASOMI WENYE CHUKI NA MAENDELEO YA WATU ACHENI ULALAMISHI NA NDIYO MAANA MNAISHIA KUTUMIWA VIBAYA NA WANASIASA.
 
Namshangaa huyu jamaa!!! Wakati vigogo wa CCM washatambua tayari ni pigo,

_p.jay tayri ni kioo cha jamii kuna mamia kaama na japo hujawaona.
_kuna watu waliamini msanii hawezi kujionyesha wazi msimamo wake kwa sababu za kiusalama,sasa nawao wamebumburuka

NB:Kuna watu wako CHADEMA kwasababu ya kum-suport Sugu





ZiNdUkA mkuu
 
Masomi ya bongo ni malalamishi na yana wivu sana ndiyo maana unakuta yanawachukia walitusua maisha kama wakina diamond kwa kumvumishia jamaa mara free mason mara wamuite Domo,wanamchukia shigongo na kampuny yake ya global publisher.Jamani tudhihirishe usomi wetu kwa kufanya mambo makubwa ya maana tuache majungu na wivu.
 
sasa mbona unatoka kamasi
hivi dalasa la nne uneweza kujua kutumia komputer au kuandika?

We pumba. Vu kwani form four ndiye anyejua kutumia computer au kuandika? Au form six? Huwezi jua bila kwenda computer corse we gamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…