CWT kuna uchawi gani mabilioni ya wanachama inaliwa bila maelezo?

CWT kuna uchawi gani mabilioni ya wanachama inaliwa bila maelezo?

36,000/- x 12 x 10 years x 200 teachers in the country

= 864,000,000 kwa uchache

Kuna watu wanaziandikia check pay na kubuni activities Ili zutumike.
1. Safari
2. Vikao
3. Entertainment © bites, snacks
4. Mei mosi
Nk
 
Acha ziliwe tu mkuu, members wako bize kupata tenda ya kusimamia uchaguzi.
 
Nawasanua yoyote alie kwenye nafasi ya serikali hii. Mwenye nafasi ya kupiga hela kwenye serikali hii, Kama hujapiga hela usije ukanilaum miaka kadhaa baadae. Usione pambio za mamaa mamaa mama,mama huyo,mama. Na hao wa mitano tena,ukafikiri inatoka moyoni! Ni kinafiki tu ili aendele na waendelee kujipigia kiulain. Watu wanapiga hela. Control #
 
Nani ana mbinu nzuri kuhamia chakuwawata? Mbinu zangu nyingi zimefeli.
1. NilimtUmia karibu wilaya ikabuma
2. Mkwara ukabuma
 
Poleni! CHAKUHAWATA makato ni Tsh. 5000/= flat rate bila kujali kiwango cha mishahara.
 
Back
Top Bottom